jamani habari zenu,
nimekuwa nikijiuliza sana, maana ofisini tuna dada mmoja aged 30yrs hajaolewa, yaani yeye amekuwa gumzo kwa wateja, ana harsh language,hasira hazimuishi, pia hata akiwa na wenzake yeye maada zote za mahusiano na familia yupo negative.
sasa mbali na huyo, nina experience ya dada mwingine mtaani, yaani ni vilivile yeye ni 34 yrs. mara aseme "kuolewa kitu gani"? mara "dah nikipata mme" yaani simuelewi.
nikajiuliza hivi mwanamke asipopata fursa ya kuolewa ana panic?
nawasilisha
xmass njema

Mkuu mbona kuna wanaokaa hata mpaka mwaka lakini hilo tatizo halijitokezi?Ikiwa sayansi inathibitisha kwamba He/She akikaa kwa 56 days w/out ejaculation anakua na uchizi flaniflani kama vile kucheka sana alipopaswa kununa au kununa sana alipopaswa kucheka ! Au kumkuta kazubalia kukodoa macho kwenye bango la tangazo lililopo kwenye njia anayopita kila siku kwenda/kurudi kazini. Hivyo hata kwa huyo that's side effects.
Wengine ndivyo walivyo tu.Kwa mtazamo wangu..mi nadhani huwa wanajisikia tu vibaya wanapoona wenzao wanaolewa wao bado au wenzao waliokuwa kuwa nao wana watoto na familia wao hawana...inauma flan hivi. Ila wengine wanakuwa wameamua kukaa hivyo,hawataki kusikia kitu ndoa..ndo maana utakuta wana-criticize. So,wengine hizo hasira na majibu ya harsh ndivyo walivyoo...wala si kwasababu hawana kipoozeo..
Mkuu mbona kuna wanaokaa hata mpaka mwaka lakini hilo tatizo halijitokezi?