H honeybae JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 339 Reaction score 463 Sep 10, 2020 #41 Mkuu hiyo dhana uliyoweka kichwani kuwa wanawake tu wanakosea ndo mana hawaolewi sio sawa,subiri uwe na mtoto wa kike ndo uje kusema hapa
Mkuu hiyo dhana uliyoweka kichwani kuwa wanawake tu wanakosea ndo mana hawaolewi sio sawa,subiri uwe na mtoto wa kike ndo uje kusema hapa
Gidbang JF-Expert Member Joined Jun 1, 2014 Posts 4,485 Reaction score 4,014 Sep 10, 2020 #42 Andie said: Nimeweka wazi hakuna ubaya kwa mambo hayo akiulizwa swadakta kujibu ila sio katika kujitambulisha wasifu wake chakwanza nina degree. Sijui umenielewa mkuu ? Click to expand... Hiyo ni cv mzee muhimu useme...... hawa viumbe nao wanaolewa kutokana na cv zao
Andie said: Nimeweka wazi hakuna ubaya kwa mambo hayo akiulizwa swadakta kujibu ila sio katika kujitambulisha wasifu wake chakwanza nina degree. Sijui umenielewa mkuu ? Click to expand... Hiyo ni cv mzee muhimu useme...... hawa viumbe nao wanaolewa kutokana na cv zao