Wanawake ambao HAWAJATUMIKA: Vyuoni wapo wengi tu

Hizo unazozisema ni original au za kungfuu?
 
Labda kwa wale pre-entry, kwa walioko chuoni ni ndoto!
 
Kuna kama 400 wanatakiwa huko kwa Mswati...

Jamaa siku hizi hamaindi.
Si ulisikia mwaka huu alipita tu, akacheki afu akaenda zake. Hajachuzi.
Watu walilaani ile mbaya.
 
Mkuu mkeshaji, unapoweka hapa bandiko ambalo huwezi kulitetea hadharani, unataka sisi tufanyeje? Tuku pm?! Au tukubaliane na wewe kwa maneno yako haya yasiyo na sapoti yoyote?! Basi wewe pm kila atakayechangia hapa ili kudhibitisha madai yako... Mimi binafsi SIDANGANYIKI kwa bandiko hili!!!
 
Hakuna cha sealed now day acha kutuzuga wewe,watu wanazipoteza tangu wakiwa primary sembuse chuo.labda umekutana na mchina anayetumia ile sabuni inatwa femtight zipo kibao kko na maduka ya vipodoz.
 
Hakuna cha sealed now day acha kutuzuga wewe,watu wanazipoteza tangu wakiwa primary sembuse chuo.labda umekutana na mchina anayetumia ile sabuni inatwa femtight zipo kibao kko na maduka ya vipodoz.

Nimejionea mwenyewe!
 
Umesahau siku hizi zipo seals za kichina? Shauri yako unayedanganyika...! Mie sidanganyiki...!
 
Karne hii bado kuna watu wana fikra finyu za kutafuta wasichana bikra! Kweli maajabu hayataishi nchi hii!
 
Karne hii bado kuna watu wana fikra finyu za kutafuta wasichana bikra! Kweli maajabu hayataishi nchi hii!

Hapana... ni ujumbe tu kwa wale wanaodhani wadada zetu siku hizi hawajitunzi.... Ujumbe wangu umelalia hapo!
 
Sema tu mkuu kwamba umebahatika kufungua mlango wa binti akiwa mbichi kwa mara ya kwanza ndio maana uko very excited.

Kwangu hiyo siyo ishu...
Nawaasa tu vijana wasipende kuwasema vibaya mabinti..
 
Wadada wapo wengine ni wastaarabu, ila ni wachache sana walioko committed
 
MI NAPINGA HUU USEMI KUWA WANAWAKE WANAHARIBIWA KWAN WANAUME HAWAHARIBIWI?
Na kama ni kuharibika nn kinachoharibiwa kwa mwanamme hakiharibiwi???????????
???????

"MNASEMA TUKO SAWA WAKATI MNACHAGUA VITU VYA KUWA SAWA?"
what a nonsense!
 
.

What do you Mean , HOW did you prove it, the only way to prove is to use, after proving not used its no more unused. Do not cheat us, or did you test with your fingers? Its not that i do not believe, but dont tell us you have proved it, What search!! You mean by asking them or test them? how to test them!! do you mean by use them? Been used or unused its so personal, no body can tell you she is used or not, some they even cheat this when confessing to the church. Witnessing with your eyes, what do you mean? they have shown to you there things that they are not used?
so you told us not disturb them, because you did it and prove, so you what only yourself to enjoy them?
PM you for what? put every thing open so everybody can read, what is so secret in this?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…