Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Thelathini na kumi!Hayo mambo yalishapitaga mhhh uko karne ya ngapi
Uwiiii_*WANAWAKE Bana NI BALAA TUPU WAKIKUTANA SALON..*_
*ONA HAWA WANATAMBIANA MAJINA YA MABWANA ZAO..*
*Wa 1: Mi wangu ni SOSPETER, nikipenda namwita SOS au PETER!*
*Wa 2: Mi wangu EMMANUEL, nikipenda namwita IMMA au NOEL.*
*Wa 3: Mi wangu anaitwa GODLUCK nikipenda namuita GOD au LUCK.*
*Wa 4 akanuna akaondoka zake...*
*Kumbe Bwanaake anaitwa MBWAMBO!*
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji1] [emoji1]mh ata sijaelewa ulikuwa unamaanisha nini