Nilikuwa na g.f enzi za O-level kwa miaka zaidi ya 2 tulipendana sana hadi nilipoitimu na kwenda mkoa wa mbali kwa ajili ya A-Level. Mawasiliano taratibu yakafa baada ya muda nilipata taarifa kuwa alienda South Africa baada ya miaka tele nikaja kumtafuta facebook kweli nikampata mawasiliano yakaanza huku akisisitiza mapenzi yake kwangu na tukaitaji kuwa wapenzi tena wakati huo tayari alikuwa Dar ameajiriwa na kipato chake ni kizuri yote aliweka wazi kwangu huku akisema ameachana na b.f wake kama miezi 2 nyuma.
Basi tukapanga kuonana siku hiyo nikaamua kwenda kwa daladala kwenye miadi huku nikiwa nimetoka simple sana bila yeye alikuwa na usafiri wake tukaongea saana kikubwa alinibana akitaka kujua nafanya kazi gani na wapi kwa mzaha nikamwambia sina kazi ya maana chuo hivyo nimejiajiri na kipato si kikubwa kinatosha kwa matumizi tu ya kila siku ( Nilitaka kuona kama mapenzi anayosema yapo ama laa, isitoshe tayari nina g.f).
Baada ya mazungumzo akanisindikiza nikapanda daladala yy akaondoka zake tangu siku hiyo simu akawa hapigi tena wala sms ahahahah nilivyomuuliza imekuwaje tena eti ooo b.f wamesameheana nikachukulia sawa tu maisha yakaendelelea, kioja sasa kama wiki2 zimepita sasa nikiwa ofisini kwangu akawa amefika huyo huyo msichana kampuni yao ikiwa inaitaji mkopo kutokana na kiasi cha fedha ikabidi kwanza mahojiano yafanyike hakuamini alivyoingia ofisini akakuta mm ndo niko pale.
Siku hiyo hiyo akaanza sms na cm kwa sana nikakamkaribisha kwangu akaja akapafahamu at last nikamuuliza kuhusu jamaa yake akaanza mara oooo unajua yule ana matatizo mengi amenichosha sasa duhhhh nikashindwa kujua haswa mwanamke anaitaji nn kwa mwanume pesa ama mapenzi kwanza.???...... Nikampasulia live tayari nina mchumba eti anasema yaani umesahau tulikotoka WANAWAKE BANA
Hii inamhusu Kaka yangu, naamini ni wengi wako hivi msimamo wao unaongozwa na kipato cha m2 na si mapenzi wadau mna mtizamo gani ktk hili