The Boss inaelekea una date kizamani sana. You have to set pre-conditions to save time and money. Kukutana na mwanamke hata kama ni nani, anabaki kuwa binadamu, muda una umuhimu wake na zaidi nyongeza ni gharama ambazo haziko kwenye bajeti. Kama hamuwezi kukubaliana hayo hata huko mnakokwenda hamtafika salama... adios dating njema
Mkuu sema unaowapenda wote 'watoto wa miembeni' lol ndio maana unaoana wote wako hivyo. Mimi najua mademu kibao, wako makini sana na wakati. Wakati mwingine wananitoa nishai, demu anakupa 'academic 15' nisipotokea analala mbele. Ndio maana najua inawezekana. Achana na watoto wa minywele bandia, miwanja na milipustiki, inaficha maovu kibao mkuuha ha ha ungenifahamu vizuri,,,,,,but mi naona wote wako hivyo...
walionda shule,wasioenda shule ,the same.
Mkuu sema unaowapenda wote 'watoto wa miembeni' lol ndio maana unaoana wote wako hivyo. Mimi najua mademu kibao, wako makini sana na wakati. Wakati mwingine wananitoa nishai, demu anakupa 'academic 15' nisipotokea analala mbele. Ndio maana najua inawezekana. Achana na watoto wa minywele bandia, miwanja na milipustiki, inaficha maovu kibao mkuu
may be mkuu,,,but si unajua haya mambo huamui ni yupi????inatokea
tu unavutiwa na kitu kumbe si kitu.
Wewe Boss hujatulia. Thread zako karibu zote unasakama mademu, kulikoni? Fanyia utafiti rasmi maana inaonekana una data nyingi sana za mademu. Amua sasa ni yupi, acha kabisa and vaa buti, hali ya hewa imechafuka sana mkuu
mmmmmmmmmmhhhhhh womanologist or philanderer? Any of them, go and see a doctor, but not a female doctor !!i am a womaniologist ha ha ha ha,i love women too much i guess.
Vitu viwili kuhusu wanawake wengi wa kitanzania
vinavyoniudhi.............
1.time...........wengi mkipanga kukutana sehemu labda
saa kumi basi atakuja saa kumi na moja na nusu,,,,
sijui kwa nini wako hivi?????
2.kingine ni mtu kuja kwenye date na shosti wake bila
hata kukufahamisha,anakwambia nakuja unastukia wako wawili?? Hawajui two is company....three is crowd....
Kaka naona una ishu sana na wanawake hadi una generalise.Hebu weka mambo bayana ushauriwe basi ndugu yangu.ha ha ha ungenifahamu vizuri,,,,,,but mi naona wote wako hivyo...
walionda shule,wasioenda shule ,the same.
Vitu viwili kuhusu wanawake wengi wa kitanzania
vinavyoniudhi.............
1.time...........wengi mkipanga kukutana sehemu labda
saa kumi basi atakuja saa kumi na moja na nusu,,,,
sijui kwa nini wako hivi?????
2.kingine ni mtu kuja kwenye date na shosti wake bila
hata kukufahamisha,anakwambia nakuja unastukia wako wawili?? Hawajui two is company....three is crowd....