Wanawake bwana ni shida kweli

HAHAHA pasua kichwa hawa viumbe. bora nimeshavuka hiyo stage ya kutongozana.
 
Mhmh naomba Smart911 asiione hii mada kabisa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cha kufanya chagua jina ambalo ni zuri kwako basi ndio ujiweke hivyo.

Yaani ukishachagua moja hapo hutakaa ukaona shida ya wanawake. Sababu utakuwa unapambana na hali yako.
Mburula
 
Kwa mfano kuna mwanachuo mmoja amejifafanua kua hayuko poa kiuchumi hivyo nimuwezeshe angalau breakfast for severe days. Cha ajabu nasikia eti anasema mm ni mlugaluga najipendekeza kwake.
Wew nae mzembee???yani kwa ufupi wew kwel limbukeni MTU yuko Chuo unajibbshaa kumlisha ujinga huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…