Naomba pafuuAhahahaaaaaa sijakutenga banah tunapishana tuu.
Niumalize wapi, vilinishinda nikaamua kwenda kulamba ugoro tuu, mja asili haachi asili yake. Mie vyangu vikaratasi wanikatie huko huko counter hapo mezani wailete ikiwa kwenye glass [emoji485], sasa hizo za kidhungu na mimi wapi na wapi? [emoji4] [emoji4]
Basi mwambie nampndaNdo MBITIYAZA mwenyewe orijino...
Chalii angu hyo mtot yuko yechuu basi tuuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu unanichafuliaa picha gan hyoo mkuuu
Aiseembona dawa ndg tu mkuu !dawa ya hao wanawake we acha kbs kuwatongoza !kwan sh ngapi !we kuwa G
Piga pafu arifu haina kwere wala niniNaomba pafuu
Basi yechu bablaii ngoja nikatfee mana zmenishiaa ndomana nkakuombaPiga pafu arifu haina kwere wala nini
rabeka mkuu !Bintiyaza popote ulipo tafadhalii
Ulipoteleaa waprabeka mkuu !
napika aiseeUlipoteleaa wap
Kila lakher mkuuunapika aisee
asanteeNakpnda bure