wanawake Bwana!

Kumbe Ni kupeana Adhabu?? Nilidhani Upendo!

Hahahahah.mwanaume kiini cha mabadiliko.ni wanaume wenyewe wanayataka na kuyaruhusu hayo, mara wanataka kuwa kama wanawake(mashoga), bado kidogo watataka na kuzaa we subiri tu utayasikia.Wanaume wamesahau wajibu wao halafu wanalalamika.Kazi kwelikweli!
 
Hizo picha zote ni hotelini!
Ya ajuu mwanaume aliyekaa amekataa kulipa bili analetewa noma,
Ya chini mwanamke ni mteja anahudumiwa na waiter!
Whats wonder..!
 
kazi ipo ila ni kinyume hata cha mafundisho ya dini! Am supposed to be the head of the family and that is one thing which will never be changed!!! You gals just keep on DREAMING!!!!!!!!!!!
 
Makubwa..naona miaka ijayo tutambiwa tusaidiane kubemba Mimba!!
 
wanaume mnajitkia ....mie nnataka hasa yawafike πŸ˜€
 
hapo ni hotelini acheni kutusingizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…