kuna jamaa yangu naye aliamini kwenye kanuni hii akaoa papa la mji kila mwenye p mjini aliwahi hata mwanafunzi wa chekechea jamaa alisema alipenda expilience aliyokuwa nayo chumbani kwani jamaa alikuwa anafanyiwa majambo ambayo shetwani tu anawezwa fanyiwa na ibilisi, duuu alioa japo hata padri alikataa kufunga ndoa hiyo kwani naye alitejeka kwa hilo pashikuna ,pia alikosa mandiko ya kuwa baliki huyo mke wa taifa nzima ilbidi waende kwa bwana shauri afanye hiyo kazi naye akasema jamuhuri ya mungano wa tanzania inawabariki na kuwaunganisha mwanamke na wewe mume na wenzako wote,duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, hilo lipashikuna nilikuwa primaly school ukilicheki duuuuuuuuuuu.