Wanawake chat za namna hii zinaweza waletea matatizo

Ukiona manyoya Mkuu ujue kishaliwa! Simu ya HG hiyo ambaye anatumika kama mtu wa kati kwenye mawasiliano yao. 😜

 
mkuu kwa hiyo we unaona ni sahih waendelee tu
 
mazoea nafikiri mi nna mashost zangu nloshibana nao nimewasave lovie, hunniepie kipenzi n.k πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ni mazoea tu

Ila wanawake mimi mnachonifurahishaga ni jinsi gani mnaweza kuitana baby, honey, sweetie, kipenzi nk wakati huo huo mnachukiana kinyamaa!! Yaani huyo honey, sweetie sijui mpenzi utakuta behind the scenes unamchukia kupita maelezo akiwa hayupo unamtukana na kumsengenya kila aina ya maneno machafu, ila akipiga simu utasikia "hallow darling.." Nyie viumbe ni wa tofauti sana..πŸ˜€
 
Hivi mtu unaweza kumchukia na ukamfanya rafiki yako?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚daah amna mi mpaka nmewasave hivyo sina chuki nao ata nukta yaani
 
Dunia inaenda kasi sana
Usijipe moyo kuwa ni rafiki ake ukasahau kuwa dunia ya sasa ata mwanamke anaweza kukuibia mkeo. Chunguza ata lesbian wapo wanye wamme pia

Ni mfano tu lakin
 
Dunia inaenda kasi sana
Usijipe moyo kuwa ni rafiki ake ukasahau kuwa dunia ya sasa ata mwanamke anaweza kukuibia mkeo. Chunguza ata lesbian wapo wanye wamme pia

Ni mfano tu lakin
ahsante kwa mfano
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚daah amna mi mpaka nmewasave hivyo sina chuki nao ata nukta yaani
Ah, wanawake nyie kwa unafki aisee ni shidaa.. utasikia hey baby.. my love.. twinnie akee.. πŸ˜€ kumbe hamna lolote
 
Ah, wanawake nyie kwa unafki aisee ni shidaa.. utasikia hey baby.. my love.. twinnie akee..
hawa viumbe kwa unafiki hawajambo na ndo wanapafanya mtaani pachungu ajil ya unafiki wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…