Wanawake chat za namna hii zinaweza waletea matatizo

Yaani dada wanaona haitoshi
Yaan dada, kaka wanaona haitoshi.....yaan nashangaaga, halafu eti me ndo naonekana mshamba

...ila ndo zile familia ambazo dada kumkuwadia kaka ni sawa tu au kaka kumkuwadia dada wanaona poa tu
 
Mazoea na tunaona ni kawaida haina madhara kuitana ivyo.
sawa bt mkiwa kwenye ndoa punguzen mazoea hayo, nilimtolea mfano wife kama ile namba isingepatikana au kupokelewa unadhani ugomv ungeisha akajb hapana, nikamwambia basi acha kuchat vile maana kunaeza leta shida baina yetu
 
mkuu humu ndani panahtaj kuvumiliana
Sasa wee sikiliza maoni ya watu humu ndani, wallah utaharibu ndoa yako ya miaka mingi kwa dakika 1, na majuto yake milele huku wao wakiwa bizze na mambo yao.
Akili kichwan mwako.
 

yuzazifu mtafute Aisha umtafune, dawa ya moto ni moto
 
Naam na hauwezi pika nyama na ugali kwenye sufuria 1 au upike supu uchanganye na chapati pa1
 
em nipe namba nimshauri mkeo anachofanya sio kizuri jmn
 
Kuna vitu viwili hapa
Moja ni ulimbukeni wa mkeo na huyo rafiki yake.

Mbili hawa washawahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja au wapo kwenye mahusiano hayo.

Lkn pia inawezekana wanatunziana Siri ili wewe ukiona sms hiyo ujue hamna kitu wakati wanamabwana pembeni wamewapa majina Kama hayo asha hadija , rehema na nk

Uwe makini nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…