Wanawake darasa la saba washamba/ vihiyo wa mapenzi?

Kuna vitu vingine vinashangaza, yaaani ni sawa na kumwambia mtoto wa kindergarten akuandikie thesis ya PHD,
Leo nasikia eti kuna uhusiana wa elimu na kitandani huh!!
Wether u like it or not, std 7 kwa std 7 they can merge engage & kuelewana, upeo ni so crucial in relationship, wazee wa zamani as i said walikuwa equal 7 by 7 or shuleless, be honest toka na std7 or less uniambie, is like uko alone on bed, so again dump & dumperer walk together
At least o-level, hujafika 4, no seduction, i stand not to be corrected 4 this, period
 
On the contrary, Tafiti zinaonyesha mabinti walioishia std 7 wako fiti zaidi kwenye majambos kuliko wasomi.
 

khaaaa ukuu taratibu na ijumaa kuu hii wenzio tunaenda kusali njia ya msalaba ...tafadhali maneno makali haya
 
we c unaona anajiita psezda inaonyesha mgen kwenye madem ww mfundishe kama vp mapenz hayana elimu

we vip? vile vi2 ni naturally. havihitaji darasa. c unaona even animals wanaperform? labda wewe huna exposure ya kutosha. inawezekana ulikutana na virgin then ukashambika. kama unataka wenye experience nenda mitaa ya ohio kama upo dar, kama upo waja leo waondoka leo nenda la casa chica ukakutane na akina bacelona na real madrid, then utajudge wewe pia ni wa la saba au?
 
Umepigwa kibuti na drs la saba halafu unahamishia hasira zako jf. Ulidhani kwa kuwa darasa la 7 atakubali kirahisi tu ng'o.
 

Jamaa yangu umemwaga upupu mtupu, sijaona logic ya wewe kuwadharirsha hao wanawake kwa Ku-generalize namna hiyo.
Zaidi Nimesikitika Kwa hata Mama zetu umewaunganisha humo akiwemo Mama yangu ambaye ni std seven,Nimepata huzuni sana!

Hata hivyo haounaofikiri wanaweza mapenzi sana si kwa sababu ya vidato vyao (Level Of education) ila ni kwa sababu interaction na watu wengi na hivyo kufundishana mazuri na mabaya.

Naamini hata nikipata std seven leo nikampenda na kumthamini ataweza kuwa hodari katika mapenzi zaidi hata ya yeyote mwenye kiwango kikubwa cha elimu kwanza kwasababu level ofeducation siyodetermination ya kujua mapenzi naamini itakuwakwa sababu ya maelekezo kulingana na matakwa yangu katika hitaji la kuridhika kimapenzi.

Kwa hiyo nahitimisha kwa kusema kuwa uliyosema naona kamahayajatoka kichwani ila mdomoni!

Karibu tena mkuu!
 

Hapo kwenye red, inawezekana hata mama yake mzazi yumo humo kwenye hilo kundi. Tujitahidi kuwa waangalifu tunapojumuisha.
Kwenye blue nakubaliana nawe mia kwa mia.
 
Wswahili wanasema "Kuishi kwingi ni kuona mengi."
 
Reactions: Mbu
Huyu alietuma hii thread nina wasiwasi na akili yake!!
 
Sredi inadhalilisha...mods mpo wapi?shame on u all
 
Sredi inadhalilisha...mods mpo wapi?shame on u all

Mkuu SIZINGA,
Please be fair to the Moderators.

Upo nasi tangu 2007. Ushayaona mengi kuliko haya.
Chukulia upande wa pili wa shilingi wakati Wanaume 'wasomi' usiku
wanawatoroka wake zao kwenda kuwanyemelea std7 House Maids.

JF is Where You Dare To Talk Openly
Ubarikiwe.
 
Mh, sijakutana na std 7 kimapenzi. Bt ktk maongezi naungana na wewe

nyie wote washamba 2.wasiosoma ndio wanayajua kuliko waliosoma speaking from experience ....kw ujuz zaid njoo huku tandale.
 
Labda kwenye maswala ya usafi na kujiremba taaluma hii inahitaji shule kidogo,pia kuongea kizungu wakati mwingine labda inachangia mahaba yanoge.Ila yawezekana pia mtu akawa na elimu ya juu lakin ni mchafu tuu ustaarabu wa kujiweka fiti hana.Mapenzi ni kipaji cha mtu binafsi naamue mwenyewe kujibidisha katika mapenzi endapo anajua umuhimu wa penzi hilo,Wale wasiojua umuhimu wanakanyagakanyaga na kupita ndio wanaokuja kulalamiaka kwamba hawapendwi au wamelogwa pale penzi linapokwenda mrama,au mmoja katika penzi anapoamua kuchukua time zake kwenda nyumba ndogo,au kwa jibaba lingine.
 
Super Moderator said:
Mkuu SIZINGA,


Upo nasi tangu 2007. Ushayaona mengi kuliko haya

Chukulia upande wa pili wa shilingi wakati Wanaume 'wasomi' usiku
wanawatoroka wake zao kwenda kuwanyemelea std7 House Maids.

JF is Where You Dare To Talk Openly Ubarikiwe.
Eeh! Kumbe Moderators mpo!
 

kwenye vidato kuna somo la love-making kumbe!
 

MWELEZE HUYU...
Kumbe mabibi na wahenga wake walikuwa mambumbu hivyo! Ukute na mama yake hajamaliza hata darasa la saba!
tumpe pole huyu limbukeni
 

Nimekusoma mkubwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…