bandubandu
Senior Member
- Dec 19, 2010
- 102
- 28
Straight to the point.... Wanawake walioishia darasa la saba hawajui mapenzi kabisa, kitandani hata kimaongezi wengi wao washamba, they almost don't know themselves wapo wapo tu, najua luv doesn't depend much on academic level, ila luv expression does, in love making, expressing they are vihiyo, iam sorry jaribu kutoka mmoja wao. I am done if ur standard seven sitongozi. leta at least O-level certificate, huna sitongozi, std VII waste of
time
Frankly speaking, with all due respect, sidhani kama ninaweza kuolewa na mwanaume aliyeishia form six (unless awe na extra ordinary understanding au pengine alikosa tu opportunity ya kwenda univ au alifukuzwa univ or college).
Mwenye La Cairo Hotel Mwanza kaishia la saba na ni tajiri mkubwa na sasa kaingia bungeni kutoa maoni ya kukuongoza wote wenye akiliMwenyezi Mungu amewaumba Binadamu wote na akili nyingi sana.
Na Mwenyezi Mungu anajua ulimwenguni ni mahali pagumu sana, ndo maana akamuumba binadamu na akili nyingi.
Ulimwenguni ni mahali pagumu ndo maana kila Binadamu anatoa machozi akihuzunika sana. We we jiulize ni kwa nini ukiamka unakuta tongo tongo kwenye macho.
Watu wa Darasa la Saba wana akili pia na ndo maana wanaweza kukabiliana na maisha magumu na kati yao wamekuwa matajiri kuliko wasomi wa PHD.
Mazingira na umasikini tu ndo yana sababisha mtu anaishia Darasa la saba.
Nina mifano. Kuna mwanamke aliishia form form, akaenda certificate teaching na akaendelea kujiendeleza mpaka sasa ni professor.
haya kuna mwanafunzi aliishia la saba, kwa sababu ya mis understanding ya wazazi, hakupelekwa secondary. Alikaa mtaani miaka 2 na akawa chokoraa kabisa. Ikaja kutokea mfadhili mmoja akampeleka secondari na sasa amemaliza form 6.
Pia elimu ya darasa la saba sio ya kubeza.... miaka saba ni mingi
Bibi/babu zako waliokuzalia wazazi wako wameishia darasa la ngapi ? Acha upuuzi.
mimi, nina masters, lakini sio siri, kwenye mapenzi ni mshamba mshamba, mshamba!!!!
I thot your Virgin au mapenzi ya sms?mimi, nina masters na mwakani Mungu akiridhia naanza PhD, lakini sio siri, kwenye mapenzi ni mshamba mshamba, mshamba!!!!
Kwa niaba ya wanaume ningependa niwaombe radhi wanawake wote juu ya mada hii. Huyu jamaa huenda alipata bahati ya kuhudhulia darasani bila kuelimika na upeo wake wa kutafiti mambo ni mfinyu sana. Amewadhalilisha mama zetu, bibi zetu na hata dada zetu wasiopata bahati ya kusoma. Namfahamisha tu kwamba kina mama na kina bibi wa zama hizo kupitia mafunzo maalum ya unyago na mikole walikuwa wakitoa mafunzo mbadala juu ya sex, kumhenzi mume, familia, usafi, heshima kwa wazazi a mume na mambo mengi yanayohusu mapenzi/ndoa kwa jumla mambo ambayo huenda hata watoto wa sasa hivi hawayapati. Makungwi wengi hata wa kwenye kitchen party za sasa hivi ni haohao kina mama wa Kipwani ambao hawakweda shule. Mwanaume anapolala na mwanamke halali na degree, wala hamu yake ya kufanya tendo la ndoa hailetwi na PHD aliyonayo mwanamke. Kuna wanawake wamekwenda shule lakini hawana kitu kitandani ujanja mwingi tu lakini hamna kitu. Mtoa mada tafadhali waombe radhi wanawake