kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
ππππSema mnajisahau
For sureNi changamoto sana.
Ndio maana mimi sitaki kuoa nipo zangu napik chapat nile nishibeππππ
Utachoka tu, utaoa upikiweNdio maana mimi sitaki kuoa nipo zangu napik chapat nile nishibe
View attachment 3438846
HaitotokeaUtachoka tu, utaoa upikiwe
Kwahiyo wewe ni kataa ndoa siyo?Haitotokea
Na ni muhasibu wa kikundi cha kataa ndoaKwahiyo wewe ni kataa ndoa siyo?
Ehwaaa hzo hzo, na kama hakukabwa sijui!Zile ndizi kavu alizosema kua ni Supu?
Mimi sipnd ndizo rojo rojoEhwaaa hzo hzo, na kama hakukabwa sijui!