RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Na kwa bi chau je?Binafsi yangu sipendi kabisa.
Huwa mnafurahia wenyewe au ni katika namna ya kujaribu kumridhisha bebe?ha ha ha tunajikuta tu, tupo kule.
Kule nako sio mpenzi kabisa.Na kwa bi chau je?
Naomba unidhibitishie haiwez kuwa kweliπ€£π€£π€£Sio kweli
Nitakuthibitishia mafichoni.Naomba unidhibitishie haiwez kuwa kweliπ€£π€£π€£
Hatari sanaUkitia ulimi utadhani unalamba nyanya chungu(ngogwe).
Hivi vingine vinipite tu!!
Chisos πββοΈKumani
Ni vile kutaka kuonyesha utundu na kutafuta sehemu yake yenye udhaifu kwa mwanamkeKwanza mnafataga nini masikioni π€
Mimi huko hisia hazipo kabisaNi vile kutaka kuonyesha utundu na kutafuta sehemu yake yenye udhaifu kwa mwanamke
Naomba ning'ate sikio, zako zipo wapi Mjukuu πMimi huko hisia hazipo kabisa
πππ babu unataka kunifanya niniNaomba ning'ate sikio, zako zipo wapi Mjukuu π
Tunatafuta kuwafikisha kwenye kilele ili muondokane na dipresheni πDepression mnatafutaga nini kwenye masikio ya wenzenuπββοΈπββοΈπββοΈ
Kuwa na imani na Wazee Mjukuu π π€Έπ€Έπππ babu unataka kunifanya nini
Nawe ni miongoni mwaoHahahaha ππ
Ainhhh wazee wa siku hizi puuu mbakaaKuwa na imani na Wazee Mjukuu π π€Έπ€Έ
Huniamini hata Mimi Mjukuu na umri wote huu πAinhhh wazee wa siku hizi puuu mbakaa
Kuna wanawake baadhi wanafurahia kufanya hivyo(ndo hisia zao zilipo)na wengine hawafurahii kufanyiwa hivyo(kama wewe ulivyosema hisia zako hasipo huko)Mimi huko hisia hazipo kabisa