Wanawake fake!!....

Nyie wanaume acheni fikra zenu potofu wanawake Fake?Je wanaume Fake nao tusemeje.
Ndoa nyingi zinavunjika siku hizi kwa kukosa maadili si kwa kijana wa kiume na vivyo hivyo kijana wa kike.

Tunajitahidi sana kuwavumilia na maulevi yenu nyumba ndogo uchafu na kila aina ya uozo.lakini hamna lolote zaidi ya kuishia kutunyanyasa hovyo.I khali wote tunatoa michango katika Familia.

Hapo hapo akina mama siku hizi ndo tumekuwa waangalizi wa familia Kuanzia Chakula mavazi na School fees.Maana pesa zenu zinaishia kwenye hizo starehee zenu.Na kurudi usiku wa manane

Tena naawambia wanawake mwenzangu mulio kwenye ndoa jipodoee kadri ya uwezo wako vaa kadri uwezavyo na Beer kunywa kama munywaji ukiendekeza hawa viumbe utachakaa kuliko bibi yako alie kijijini.
 


Ndugu,

Umesahu kwamba siku hizi wanawake wanapanga foleni 'kusuguliwa miguu'
 

Nadhani umekuwa too general Mkuu, wapo wanawake makini tena wengi tu. Pia umesahau kuwa mwanaume ndio kichwa cha familia, nadhani mwanaume asipokuwa hovyo, mkewe pia hatokuwa hovyo!Ukiona mwanamke yuko hovyo ujue na mumewe pia. Kwa maana hiyo, two hovyo hovyo parents/couples makes a very hovyo hovyo family.
 
Tulia, usiongozwe na fikra ama kudhani.....andika facts! Je, haiwezekani kwa mwanaume peke yake kuwa hovyo ilhali mkewe asiwe hovyo? Kwa nini?

Haiwezekani,kutokana na mfumo wa malezi ulivyo!
 
Walimu weusi,umejibu jibu jepesi kwa swali gumu,inaonekana watu wengi hawajui mfumo wa malezi na nguvu za kimaumbile walizonazo wanawake kwenye baadhi ya mambo!
 

OMG! kwenye bold kama haya ndiyo mawazo yako kuhusu uongozi, sina cha kuongezea.Inaelezea kwanini nchi hii itaendelea kuwa mkia kila siku.Kumbe ukiwa kiongozi huna say yoyote, unapokea maelekezo kutoka kwa wataalamu wako!?
Nitaomba michango ya wengine kwenye hili maana nimeishiwa nguvu kabisa.
 
Dada mbano,punguza hasira,uliyozungumza ni matokeo ya kuwa na mke wa hovyo,narudia tena mwanamke anaejua majukumu yake na nguvu aliyonayo kwenye ushawishi kwa mumewe,anaweza kuitumia kumfanya mume asifaye hayo uliyosema labda uwe hujui!
 
Wilson,thanks 4 the addition!
 
Tausi,maneno uliyosema ni kweli kabisa,maendeleo ya nchi yetu ni ya hovyo,tofauti ni namna wewe unavyoliona tatizo,unapokua GM haina maana unajua kila kitu dada yangu,leo tuna mgao wa umeme kwa sababu wakubwa hawakusikiliza ushauri wa wataalam,ukubwa sio ujuzi Tausi!
 
mke mwema huijenga nyumba yake bali mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe - biblia takatifu
 
Canta,sijawahi kuoa,ila nimewahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa hovyo!Hebu niache mimi na uangalie wengine,inamaana kati ya wanawake smart na wa hovyo ni kundi gani ni wengi?
 


Ungekuwa mume wangu leo leo ningekupa talaka, mwanaume gani unalialia mke akutunzie ndoa?

Make your own wife, daaadeki!
 
Mnataka kupewa tu! Na nyie mnatoa nini? Love n care is a two way traffic.
 
Freema,kweli kabisa umesoma na ukaelewa ninazungumzia kusaidiwa kulea familia?Kama ni kweli una matatizo ya uelewa!
 

maybe just may be maana uzoefu umenifundisha otherwise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…