Wanawake fake!!....

mwanaume unapoona malezi ya mtoto anaachiwa hg wewe unaingilia kulea wanao?

Wewe ushinde baa kula nyama choma na beer mkeo umwache apange bajeti ya ugali maharage?

Mume unapotegemea kuhudumiwa na mkeo, mkeo anamuhudumia nani? Au unamwachia serengeti boy amhudumie?

Nyumba haijengwi na mtu mmoja kaka, hujengwa na mke na mume, utegemee kufanya mambo yako yaajabu kisa mke ndo muhimili itakula kwako.

Mahusiano ni wote 2 mjitoe kuyalinda na kuyajenga.
Kila mmoja amhudumie mwenzie nawashirikiane bega kwa ega kwenye shughuli mbalimbali za nyumba.
Wawili mshauriane khs bajeti na kadhalika.

mnaosubiri wake zenu wajenge nyumba huku nyie mkitapanya au mkikunja miguu nyumba haitojengeka
 
BADILI TABIA,hebu soma uelewe nilichozungumza kisha uje upya,maswali yako yako nje ya nilichozungumza!
 
mmh, haya makombora yanayorushwa humu si mchezo... umechokoza mzinga wa nyuki nini mzee?
 

mwisho wa sredi utamuunga adi miguu. .Chezea lIZZY WEW..
 
Canta,sijawahi kuoa,ila nimewahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa hovyo!Hebu niache mimi na uangalie wengine,inamaana kati ya wanawake smart na wa hovyo ni kundi gani ni wengi?
Basi ungesema baadhi na sio wote.
 
Unapokuwa na watu 100,wawili wakawa na tabia tofauti si ni sawa na wote tu!

Umetoka na wanawake 100 mpaka sasa?dah!.ila hata ungekua na wanawake 1mil bdo kakaangu,.sikatai nguvu ya mwanamke ndani ya mahusiano ila pale mwanaume(kama Mungu,uliem2mia kusema ananvyosema)hajui responsibilities zake kama kichwa cha familia,asimame kama mwanaume,by actions,words,thought etc ni bure!.hata kama mawaziri ni bogus vipi,raisi akismama kama yeye,change is possible!.nguvu ya surbodinates ni catalyst tu..so usiangalie upande mmoja..it takes two to make things right.
 
HOJA YAKO NDO FAKE KABISA.
Kibiblia mwanaume ni kichwa sasa hicho kichwa kinachoendeshwa na mwili, lazima
unaongelea wanaume wa kufikirika. Lakini kwa hakika mwanaume ukilegea ndoa
itayumba sana, mwanamke ni msaidizi sasa inakuwaje msaidizi amzidi yule mwenye
majukumu, hebu wanaume tuache visingizio tusimame kwenye nafasi yetu na hali ya
maisha ya jumla itakuwa nzuri.
 
ESAM,hujaelewa nilichoongea hapa,sijazungumza kuwa mwanamke aongoze familia,nimezungumzia nguvu ya mwanamke kwenye ushawishi ili maendeleo yawepo au yaongezeke!
 
Tracy,mawaziri na watendaji wengine chini yao wakiwa wa hovyo rais nae ataonekana wa hovyo!
 
Tracy,mawaziri na watendaji wengine chini yao wakiwa wa hovyo rais nae ataonekana wa hovyo!

na even worse when the prezoo ni dumb!..so again,it takes two,sio mmoja.
 

duh! Mwana naona umewapania haswa hawa mabiti, maaana now days maisha yao ni ya kichina china haswa.full ufeki kwenye ndoa. Wapeeeee! Waongezee wajirekebishe,maana wengine usiku badala ya kubembelezana na mumewe unamkuta yuko bize na jf . Unakuta mke wa mtu mpaka saa nane za usiku yuko online utafikiri daktari yuko zamu wadi ya wagonjwa mahututi anasikilizia nani anakata roho.humu jukwaani mmu wapo wengi tu.
 

Mkuu nimetabasam baada ya kusoma post yako,wamekusikia!
 
Mhh !! Lizzy Umenikosha sana leo.
Nichangie nini na wewe ushamaliza? i like it !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…