Wanawake hamjitambui kwa hili au ni nature?

<i>.</i>&quot;<b><font color="#FF0000"><font size="4">When a stupid man is doing something he is ashamed of, he always declares that it is his duty</font></font>.&quot;</b>
<br />
<br />
andika kiswahili bhana! Kuna wengine tumeishia form X
 
ndoa si chombo cha starehe ni tendo takatifu naomba tuwe makini na setensi au maneno yanayoweza kuleta mkanganyiko na sitofahamu ndani ya jf kweli mimi nichoamini mcha Mungu hawezi ukawana na matatamanio ya aina hii hili naweza sema ni pepo chafu lililokuingia kaka kakakkiiza.n ushauri wangu utawakwaza sana wanawake humujf
 
Kama unataka kujua hili kaangalie kama baba na mama yako ama babu na bibi yako walichokana na wakaachana,ukikuta sivyo basi ujue assumptions zako ni kama machozi ya samaki kwenye maji,nyinyi mnaochovyachovya ndo mnaochokana,she..z taipu!
 
kaka kiiza you put e out f the mood kabsa .yaan peace me offffff,kweli kama haya maneno unamaanisha hata mama na bibi zako ni wa starehe pole san akwa mtazamo wa ajabu RIP kaka kiiza
 
Kwanza hiyo lugha ya 'sisi wanaume' ungeifuta kwa sababu ni mawazo au mtazamo wako wewe mwenyewe(labda na baadhi ya wenzio hata wakiwa wengi). Kama uko na mwanamke kwa tamaa zako au ulioa bila kuwa na uhakika lazima utamchoka tu. Lakini uhusiano wa kutochokana upo, ni tamaa tu ndo zinatupeleka nje.
 
ni hivi.... hakuna ubishi wanaume tumekuwa kikwazo na wakorofi kwenye mahusiano. jamaa kaja na mtazamo wake na hii imekuwa kawaida kwa tamaa za wanaume kubwaga na kuanzisha uhusiano mpya....i concur with him. sasa kwa maneno alivyotumia, inaonekana anawasiliba wanawake lakini ni ukweli anaosema(according to me). ishu ni tamaa ya wanaume
 
Hufai kwa kutafunwa wala kulumangiwa, hufai, hufai, tena hufai wewe na mkeo, mngete o warumu.
 
Hii hali hii ni mbaya na huwaumiza saana akina dada..... Lakini hata hivo huyo me anakua hakumpenda kabisa mdada bali kumtamani...
.......Lakini huyu jamaa sidhani kama ndio yeye amepost hii thread au yawezekana amebadilisha Avatar, lakini kama ndio yeye ninaemfahamu mimi nimesthushwa sana na poor analysis yake, maana ninavyofahamu mimi mwanamke mkizidi kuwa pamoja kwa muda mrefu basi mapenzi ndio yanaongezeka.
Au labda sisi ndio hatujamuelewa huenda labda anazungumzia wale kina dada poa anaowanunuaga pale Joly Club, ndio wa kuwabadili kama nguo.
 
Asante kwa hilo kwakutoa hukumu lakini nachoweza kukueleza nyinyi vijana waleo hakuna anayeolewa kwakufata matakwa yandoa na mila na desturi zake wengi tumeshuhudia zikishia kufarakana ndoa za sasa ni Artficially Usishindwe kutoa changa moto kwa Dada zetu kwa kufumbia macho ujinga!

Kama unataka kujua hili kaangalie kama baba na mama yako ama babu na bibi yako walichokana na wakaachana,ukikuta sivyo basi ujue assumptions zako ni kama machozi ya samaki kwenye maji,nyinyi mnaochovyachovya ndo mnaochokana,she..z taipu!
Mimi kama mimi sihitaji kuangalia historia nachotalka kuangalia ni kilichopo mezani!!Naninaona nikukumbushe hawa Dada zetu wenyewe wanaona ni Fashion leo kumegwa na huyu kesho yule na wale walioko kwenye ndoa ndo husiseme wakina dada wamefanywa kama kiburudisho mkatae mkubali hali ndo hiyo!

kaka kiiza you put e out f the mood kabsa .yaan peace me offffff,kweli kama haya maneno unamaanisha hata mama na bibi zako ni wa starehe pole san akwa mtazamo wa ajabu RIP kaka kiiza
Najua wengi wenu yawezekana nimewakwaza lakini nawapeni pole lakini nawakumbusha hii nichangamoto iliyopo mbeleyenu kwani hili nitatizo hata mkilifumbia macho siyo kumaliza tatizo Ukweli ndio huo!!Mimi sijuikumun'gunya maneno!

Mimi nasema kama mimi nimwana mume kwa sababu popote nikifanya chochote jamii inaweza kusema hii ndo tabia ya wanaume hivyo tayari nitakuwa nimewakilisha!!Hupo??Good and well nikweli kuna wengi wetu labda wameoa bila kujipanga na mambo mengi,Hawkuwa wamejenga,GX100,Tembo card!1Ila waliowengi hivyo siyo vitu vya msingi katika ndoa lamsingi nikuaminiana ila nakuhakikishia nyie akina dada hapana tena mim inawaona mahusiano mliyo nayo niyamashaka waliowengi wenu mnafurahia lae kuwa nahuyu kesho nayule tena sehemu moja yakazi!Mazingira yale yale na mishipa ya aibu hamna!!Habari ndiyo hiyo nikuulize wewe hapo ulipo unawafahamu wangapi wanaume/wanawake walikuwa namahusiano na sasa hayapo wameanza mbele na wengine??Au hata wewe!!

Mini nashukuru wewe Na AshaDii Kwakuuelewa ukweli sisi ndiyo kikwazo kwakuwa tunatamaa nahii imetokana na madadazetu kutokuwa waaminifu!Kwahiyo wengi nimewaona wakisema akileta zake natafuta mwingine hata humu JF unasikia katika thread wakisema kama anakuzingua tupa kule kamata chombo kingine!Ila nilicho gundua hapa nikwamba hawataki kukubali ujinga wanaoufanya!

 
Wadada tumekua wakali sana, ni kweli maneno ya kaka kiiza yanaumiza ila ndio ukweli wenyewe huo wanaume wengi wamegeuza wadada kama chombo cha starehe tu anagonga akichoka anaenda kutafuta mpya. Kibaya zaidi anaweza ondoka akichoka huko eti anakufuata tena analeta blah blah blah mdada unalainika unampa tena, tunajidhalilisha sana wadada.

Tuwe na msimamo wanawake, sio kwamba ukikaa bila hiyo naniliu inaoza ni kujiendekeza tu.
 
Tatizo wadada hawapendi kukubali ukweli kila siku tunashuhudi watu wanavyofanywa kama nguo lakini wengine humu niwepesi wakudhiaki kutukana na kuhukumu kama ile hawana macho!
 
Mzazi atakae pinga hili limesha mtokea au ndo linamtokea. Kuna kitu wa dada zetu hawakijui na kamwe hawata tambua mwanaume anapo penda dada anadengua pindi mwanamke anapo kuja kupenda mwanaume upendo umeisha yeye mwanaume anatoka mwanamke ndo anaingia na anae umia mwanamke siku zote.
 
Mkuu umesema ila ukweli ni hulehule hata waheshimiwa wakienda mjengoni lazima watangulize kiburudisho hata akiwa na mke wake lakini kingine kipo pembeni na wanajidanganya eti yeye anahudumiwa hawajui kiburusho lazima ukinunue!!
 
hehehe acha nikae seat ya mbele, nina hakika akikuja Lizzy na dena amsi patakuwa na movie la kufa mtu

Shemeji nilikuwa najiuliza na hii kesi sijui niilete kwako?? Ngoja kwanza nianzie TAMWA.

We Kakakiiza nani alokwambia kuwa wanawake ni vyombo vya kustarehesha?? Starehe gani hapa iunayoizingumzia?? Maana kama ni jigjig nafikiri ni wote tunatumika how can a man starehe out of that kitendo mwenyewe?? If you recall ule usemi usemao Mkunwa na Mkunaji.........nafikiri utapata jibu.
Second jua kuwa ndoa si kile kitendo peke yake ni pamoja na majumuiko mengine chungu mbovu. Ukisimamia katika kitendo peke yake am telling you utatupanga na kutubadilisha kama wachezaji wa Basket walioochoka!! Hata sie wanawake kua kuwa huwa tuna'kinai' if I put it in that way na tunatamani sana kubadilisha hizo mboga za kulia ugali lakini tunapoangalia vigezo vingine zaidi ya tendo tunagundua kuwa tunawajibika kuziheshimu ndoa zetu kluliko chochote. Sex/starehe you can get it popote hata chini ya mikahawa but ndoa si rahisi kiasi hicho! Unless useme kwako NDOA=SEX na SEX=NDOA

Shemeji nilinde!!
 
Shemejiyo atakulinda sana!Ila hapo kwenye red ndo palipo na mgogoro kwenu nyinyi kutojua umuhimu wake kwani majumuhisho yandoa ilikuwa ni by the way ila issue nikwamba Dada zetu hawajitambui kwakuwa wao wamezoea!! naweza kusema kwani wanabadilishwa kama nguo na wao wapo kimya na kama sikimya basi hawasemi hapana!!Katika ndoa niligusia kwa makusudi kwakuwa hata huku kunafungu lenyewe kuoa ni suti kama suti ya harusi ili ujulikane unaenda harusini lazima uwe na suti!Lakini kama nanyinyimnatamani kubadilisha mboga basi tatizo limeanzia kwenu!
Ila nachokitambua no marriage without SEX and no SEX wuthout Marriage vingine ni uhuni mnafanya mnasema nataka niolewe na mimba ya miezi 3-4!!!Kweli???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…