Wanawake hampendani.

mitishamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
697
Reaction score
111
Kutwa kucha kusengenyana na kusemana vibaya.
Kuoneana wivu na kijicho.
Kusingiziana mambo mabaya na yasiyo ya kweli.
Kuombeana mabaya.
Kuchukuliana waume/mabwana/wapenzi.

Huku mnajifanya marafiki mlioshibana, mioyoni wanafiki.
 
Hahaha, inategemea hao wanawake wanaokuzunguka tabia zao bana! Wanawake wa siku hizi tunapendana na tuna siri kama wachawi!
 
Wanaume hawasemani vibaya?
Wanaume hawaoneani wivu?
Wanaume hawasingiziani mambo?
Wanaume hawaombeani mabaya?
Wanaume hawachukuliani wake/wapenzi?

Hawajifanyi marafiki walioshibana , mioyoni wanafiki?

Kwenye kila jinsia kuna watu wenye tabia ulizoandika na wanazielekeza kwa jinsia zao wenyewe pia kwa jinsia tofauti kwahiyo acha kuandika kama vile huna uelewa, labda kama hunao.
 
yamekukuta? pole sana.............
kwa ninavyojijua mimi nawapenda sana wanawake wenzangu
 
Dah! Kazi ipo!
 
Hayo mengine not so sure lakini la kuchukuliana wapenzi wanawake wanapenda sana kuwaiba wapenzi wa wenzao kuliko wanaume. Wanaume walio wengi wakiona mwanamke/msichana yupo na mtu wanafunga break lakini wanawake ndio kama sijui nini vile wanavyotamani vya watu. Chunguzeni mtaona
 
wanawake tunapenda kujikoooosha kana kwmba wanaume ndio wabaya peke yao. Hizo sifa ni kweli kabisa. Povu zitatemwa hapa ila ukweli ndio huo. Hatupendani!
 
Hivi mtu utachukuliwaje mpenzi wako?

Au huyo mpenzi wako ni jinga zumbukuku anayechukuliwa bila kujitambua? Sielewi jitu zima na minyoya yake kwapani na kinenani kuchukuliwa na mtu mwingine. How could that be?
 
Walau umeongea ukweli japo ukweli huo waweza kuwa wa kuumiza upande wako
 
wanawake tunapenda kujikoooosha kana kwmba wanaume ndio wabaya peke yao. Hizo sifa ni kweli kabisa. Povu zitatemwa hapa ila ukweli ndio huo. Hatupendani!
Walau umeongea ukweli japo ukweli huo waweza kuwa wa kuumiza upande wako
 
Walau umeongea ukweli japo ukweli huo waweza kuwa wa kuumiza upande wako

mm sifakish maisha. Cjaona wanawake kupendana kwetu cc ni savaivo of fittest. Il mrad upate utakacho. Ukimtaka mwanaume na akaja fine sbb wote sio watoto wadg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…