Wanawake hasa wa kikristo ongezeni ubunifu kwenye tendo

Wanawake hasa wa kikristo ongezeni ubunifu kwenye tendo

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada.

Licha ya hawa viumbe kupenda kupigwa pipe za maana, ila siku hizi wamekuwa hawana ubunifu kabisa

Nyie wanawake mnatusakama sana kuwa sisi hatuwaridhishi, tutawaridhisha vipi wakati tukiwa kwenye tendo hamna ubunifu?

Viuno hakuna mkilala kifo cha mende ndio mpaka mchezo unaisha, kuna styles tofauti tofauti nyingi tu kinachowafanya mkariri style moja ni nini?

Unakuta kidume najipinda napiga chenga na krosi za maana ila mshambuliaji aoneshi kuwa hatari langoni.

Huku majumbani wake zetu hamtutegi kabisa tunaishia kutegwa na kina dada wa kazi, pumbavu badilikeni.
 
Kumbuka ndoa ni tendo takatifu,mbona mnaingiza visivyo visafi ndani yake?
 
Nimesoma Uzi wooote sijaona mahali umeandika wanawake wa kikristo Wana shida ya kuwa magogo tofauti na wanawake wa dini zingine

Nikasema labda nimesoma haraka haraka ngoja nirudie tena,nikagundua kumbe kweli hujaandika kuhusu wanawake wa kikristo
 
Mzee nawe jitathmini huenda maandalizi yako na mpini wako haviko imara mwisho wa siku unaishia tu kumchafua mtoto wa watu na kumuacha na ashiki zake ya Nini ajitese,ukiona kasoro kwa mwenzio jipime kwanza mapigo yako
 
Mzee nawe jitathmini huenda maandalizi yako na mpini wako haviko imara mwisho wa siku unaishia tu kumchafua mtoto wa watu na kumuacha na ashiki zake ya Nini ajitese,ukiona kasoro kwa mwenzio jipime kwanza mapigo yako
Ukweli huu.
 
Sasa hiyo style si umfundishe mkuu? maana wewe unaonekana unazijua zote hata hii ya Ashura kumteka Diwani utakua unaijua.
 
Syle inapaswa kubuniwa na mwanaume halafu mwanamke anaelekezwa tu.

Kuna wanaume wenzenu wanafunga bembea vyumbani mwao. Mwanamke akiingia anaambiwa akae kwenye bembea akiwa mtupu.
Jamaa naye anakuwa amesimama wima na akiwa mtupu huku mashine ikiwa imekakamaa.

Kisha jamaa anasukuma bembea. Bembea inmleta k kwa kasi ya upepo na kujipachika kwenye dushe.

Usilaumu wanawake
 
Kuna staili moja inaitwa THE BIG DANCE akinama inabidi mjifunze hiyo ili muweze kulinda ndoa zenu dhidi ya wevi!
 
Back
Top Bottom