Niombee sana๐คฆ๐ฝโโ๏ธKweli umenizidi kidogo shem, pwagu na pwaguzi
Babu na mjukuu wakose kusimuliana visa vya zamani kweli?Tunakuwa tunaongea nini babu wee
Hiyo hata machokoraa wanafanyaKupeleka moto
Ambavyo mmoja hakuwepo๐ซขBabu na mjukuu wakose kusimuliana visa vya zamani kweli?
Pesa ni kila kitu, hata wanaume hawapendi wanawake ambao hawana pesa.Sisi tunapenda hela, hatupendi tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenzi nawe kabisa.
Tunapenda hela sasa
Nataka siku moja tupange mechi humu aiseeee maana naona kuna watu wanapenda kupima hasira zangu..Poor Brain marafiki zako wanazidi kuongezeka, alikua haszu tu saivi kaongezeka na huyu.
Yeah, nimeacha kuwasikiliza wapita njia ๐Kabisaa! Porojo achana nazo ba mjengo๐๐ฝ
Bwashee Seran hawezi kunichiti. Labda unionesha ushahidi wa video ndipo nitashawishika.
Kabisaa! Porojo achana nazo ba mjengo๐๐ฝ
Kakushika pabayaaa, kwenye kende kabisa ukisema nywii anaminyaa ๐คฃYeah, nimeacha kuwasikiliza wapita njia ๐
Najua tu walio nje wakiona wapendanao wanafurahi lazima waanze kuzungumzia masuala mazima ya limbwata.Kakushika pabayaaa, kwenye kende kabisa ukisema nywii anaminyaa ๐คฃ
Badala uwaze kufanya KAZI unaweza kuombaomba.Sisi tunapenda hela, hatupendi tunajifanya tunakupenda ila kiundani hatuna mapenzi nawe kabisa.
Tunapenda hela sasa
Sasa unafikiri nn, hata ushahidi hujautaka.. bibie kaweza ๐ haya me niko pale nawazoom ila mtaachana tu.Najua tu walio nje wakiona wapendanao wanafurahi lazima waanze kuzungumzia masuala mazima ya limbwata.
Tutadumu na utashangaa.Sasa unafikiri nn, hata ushahidi hujautaka.. bibie kaweza ๐ haya me niko pale nawazoom ila mtaachana tu.
Aiseeew! Furaha yako tuachane sio๐Kakushika pabayaaa, kwenye kende kabisa ukisema nywii anaminyaa ๐คฃ
hahahahaNdomana wako radhi watoe
Jicho kikubwa hela tu
Ova
Free Red Black ๐๐พ๐๐พ๐๐พAiseeew! Furaha yako tuachane sio๐
Muache yuko na bi mdogo saizi unawapigia kelele๐Free Red Black ๐๐พ๐๐พ๐๐พ