Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Unaposema nyie wanawake unawasemea wangapi? Nani kakwambia hatuambiwi tumependwa kwa sababu tuko handsome?
 
Umenena safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mpaka nimekupenda bu... Dah inachosha kukuta vijana plan A saluni,lip,so on.....
 
Asimuliaye mvua imemyeshea..angalizo unamengi ya kujifunza kwa utakaokutana nao ambayo yatabadilisha msimamo wako uliojengwa na ulikua nao
 
Huu sasa unyanyasaji, siwaelewi wanawake mnataka nini ukiwa maskini shida, tajiri shida, mweusi shida, mweupe shida, msomi shida, sasa eti ukiwa handsome na msafi sijui shida, mrefu mweupe shida, mfupi shida, kibamia shida, mguu wa mtoto shida du kila kitu shida kwenu tuweje sasa. Nabaki na msimamo wangu mwanaume ukijinyonga kwa ajili ya mwanamke ni upunguani.
 
Waambie!!
Nahisi una mimba si bure. Mana mwanamke akiwa na mimba hata arufu ya petroli kwake arufu safii na arufu ya pafyumu ikawa Keri kwake
 
Unanyoa ndevu ili ufanane na mke wako?
 
Miss Natafuta katika ubora wake [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Dada umeongea jambo kubwa Sana, bless Upo,hatukuumbwa kujipodoa, kujipodoa unapoteza muonekano wa kiume
 
hawa viumbe bana, wanapenda tuwe wasaf af wachaf, warefu af wafup, tuwe na hela af tucwe nazo, wakal af wapole, wanene af wembamba, wazur af tuwe na sura mbaya, tupendeze af tucpendeze duu, kama mung akuwaridhsha je? mwanaume ataweza?
Hamaanishi wachafu, anamaanisha kujipodoaaaaa, kuwa simple haimaanishi uchafu, Wapo wanaume wanajiremba Mpaka dahhh,
Kaongelea kuwa simple
 
Mi navaa kawaida tu sinaga cha nguo za sikukuu. Sivai kibishoo kama vijana wengine wa Daslam ila huwa nahakikisha niko clean tu. Nipo casual!!!
Ndo uanaume, mvaa sana na mjipodoaji sana huwaza kuvutia tu, wakati mvaa kawaida huwa bize na kubeba na kutimiza majukumu, wavulana ndo hujipodoa, wanaume tunawaza meeeengi ntapata wapi muda wa kukaa kwe dressing table
 
Ni zaidi ya ukweli wenyewe,
Barikiwa sana
 

Mmmh.... kweli kila shetani na mbuyu wake.
 
Mmmh kikwapa? Tuko tofauti kwakweli wacha wapigilie bana
 
Rudia kusoma uzi upya
Kwa utulivu
 
Halafu inakuaje mwanaume na Mkeo mnakuwa ngoma droo kujipodoa, lzm pawe tofauti bana, mtaheshimiana vp wote mnajireeeeeeemba, wanajiremba toka nae halafu patokee tifu ndo utajua ujinga wao, badala ya kukulinda anaanza kulinda mikufu mapete na nguo zisichafuke au kupoteza,hata watoto wa mjini wakikuona nae wanajua mterezo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…