Wanawake hawa tunawachukuliaje ktk mahusiano?

masuala ya jando yarudishwe haraka
hii ni hatari sana
vijana wame change roles
the hunter wamekuwa 'the hunted' tena huku wanakimbia kimbia kwa woga

yani kwa kweli kazi ipo,hivi kweli kijana aliye chuo kikuu anaweza akawa hivi kweli,kuna siku madame x alisema kizazi cha wanaume vidume kimepotea watu wakamshambulia kweli madame wa watu lakini na mi naanza kuhisi yuko sawa yailahi!nakuunga mkono miguu na masikio yote jando na unyago virudi haraka sana,sasa huyu ndo akimaliza chuo tu kafanya kazi mezi kadhaa anatangaza ndoa,bado tutawalaumu mabinti kweli wanavozidi kushindwa kuplay role zao kwenye ndoa?ah!
 
ukitaka kuamini kwamba elimu ya TZ imeshuka ni mambo kama haya.
mtu wa elimu ya analeta ishu kama hi hapa.!!

Yani uwezo wake wa kufikiri umeisha kwa ishu kama hii.

PITY..sorry if im being rude.
 
Mbona unaleta story za ngoswe na mazoea hapa,ujawah ambiwa neno hilo nn???
 
unatuabisha mazee!
sasa kuna jipya hapo!
TULIZANA!
 
unatuabisha mazee!
sasa kuna jipya hapo!
TULIZANA!..
 
 
Yaani kila kitu ni JF,hata yale ambayo hayaihusu JF yanaletwa,hatufikirii siku hizi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…