Hadithi ya hii inatokana na maisha ya mwanamke asiyejua thamani yake na haki zake.
Imagine mpaka Leo kuna wanawake wanaishi maisha ya mateso. Mwanamke ameachana na mume wake na kila mtu anaishi maisha yake.
Hii hainishangazi ila kinachonishangaza ni kwamba Mwanaume baada ya kuacha a na mke wake atakuwa huru kuwa na mwanamke yeyote yule na kwenda kufanya stare he popote pale.
Lakini kwa upande wa mwanamke anaishi kwa tabu kwani hairuhusiwi kuwa na mwanaume mwingine wala kwenda popote PA kufanya starehe yake kwani akienda tu huko yulee mwanaume aliyeachana naye akimkuta atampiga mpaka akome na pia atateswa kwa kunyang'anywa simu na Vitu vyake vingine lakini akatulia kisa eti huyo mwanaume aliwahi kuwa mume wake duh kweli wanawake wengine hawajui jui haki zao ila wanajua kutumia mtandao ya kijamii lakini pia haiwafungui akili.
Unakuta Dada mzuri sana lakini ukijua maisha yake wewe anaishi na watoto wake lakini Hana furaha ila tu siku ziende duh. Wanawake badilikeni Bana. Nimemaliza mimi sasa kwenu nyie WASOMAJI WANGU.