Maneno haya yalitoka kinywani mwa babu yangu miaka kadhaa iliyopita.
Na mara kwa mara nimeshuhudia na kuikumbuka kauli hiyo.
Mawifi hawakai jiko moja..mama mkwe ndio kabisaa mwanzo wa kuonana wachawi..hata marafiki watacheka usoni utadhani wana raha...lakini kamwe nafsi zao katika mazingira ya jikoni yana kinzana.
Jikoni Pana siri KUBWA.