WANAWAKE HAWANA UJASIRI WA KUTUTONGOZA WANAUME.

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,056
Wakuu Suvai,, Shimboni sheamka,, shimboni shafo,, Aika kwa mlioitikia,,

Let us back to the business,,, Kama title inavojieleza apo juu wanawake hawanaga ujasiri wa kuwaelezea hisia zao wanaume,ni wachache sana wenye huo ujasiri, unaeza kuta katika ma manzi 8 ni wawili tu ndo wanaweza, Mwaka jana nilikua marangu kilimanjaro kwa Sister,so kuna mamiloo alitokea kunielewa ila uthubutu wa kunitamkia hakua nao,kinywa chake kilikua kizito sana. Huyu dem alikua anamtuma mdogo ake aniite anashida namimi,but ukifika hakuna la maana analeta njaro za ajabu tu ambazo sio za duniani hadi time inakata.

Lengo lake lilikua ni mimi kujiongeza ili tuyajenge mapendo catholic,, Marangu kuna milima so nilikua napita kwao napanda kule milimani kula vitu vyangu, Kila nikipita pale nimevaa kacha mkononi au saa utamskia et naomba niangalie iyo saa yako au kacha alaf anaingia nayo ndani,Anasema uifate kule ndichi au niende nnakoenda nikirudi ntaikuta, Obvious nilikua sina nia nae ndomaana nilikua na balance shobo, Hadi narudi Arusha hakuwahi kunifungukia ila alimwambia rafiki ake flani aliekua anasoma Renea girls uku Chuga, kuwa ananielewa ila kuniambia ndo ulikua mtihani,

Maskini dada yule alibaki na hamu zake. ,,,,Wanawake Kama mkituelewa Tutongozeni tu,Sisi ni rahisi sana kukubali,,,,, @ChaliiYaKijengeJuu
 
Kweli kabisa mkuu wajifunze kufunguka tu.. Mbona sio dhambi
 
Usicheze na hisia za mwanamke mkuu unaweza sababisha hata kifo mzee, be gentleman hata kama umpendi omba hata ushauri kwa watu utamuachaje bila pain yoyote moyoni mwake lakini sio unam- dump au kum-reject kimasihara tu,
Dingii..ushawahi
kukutana na manzi
ambae humuelewi
ata kidogo an?!
 
Mwanaume kusubiria kutongozwa ni kujiweka kwenye list ya konki masta
 
Aise chali ya arusha huko mlimani ulikuwa unaenda kula yale mambo yetu nini maana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe machalii ya chuga tunawazidi sisi machalii wa dar, sisi machalii wa dar huwa demu akileta shobo tunasukuma ndani kazi kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…