BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Usiwe na hasira, tunafuata sheria za Mungu.... Tutakula kwa jasho....
Jasho langu nakula mwenyewe, Jasho lako tunashea.... Mbona wewe huzai kwa uchungu???
biblia imesema MWANAUME ATAMTUNZA MKE WAKE....sasa nikilipa asi ntakuwa nimevunja maandiko?wakat mi napenda kwenda mbngun jaman...natekeleza mistar na maandikooo mwanaume ATANITUNZA ...ATA KM AKIWA ANAPOKEA LAKI 3 MIMI MILION 3 STL ITABD ALIPIE TUHivi kwanini mademu hata akiwa mke wako bila kujali kipato chake kikoje mnapokuwa either mmetoka au kuna shughuli yoyote mnafanya inayohusisha mambo ya malipo wao wanakaaga pembeni kabisa kwenye malipo. Hata mkienda disco wewe ndo ulipe kiingilio.
Ni kitu wazi tuache ubishi we angalia bar, restaurant, shopping za nyumbani, ada za watoto etc etc
eva alitofautiana nao kidogo kwa kushare lile tunda na adam ingawa ndio iliyokuja kutucost kizazi chote mpaka kesho.
MWANAUME NI KICHWA.
nikilipa ntakuwa nawadhalilisha na kuwapunguzien HESHIMA YENU..so najiweka kando utekeleze UANAUME WAKO....
au na nyinyi mnataka usawa..????????????
Hivi kule Beijing si mlienda kudai usawa au nakosea hebu nikumbusheni??? MWANAMKE AKIWEZESHWA ANAWEZA

haleleuyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mpendwa...sema eeeimeeeeeeeeeeennnnnnnnn!!!!!!!!!!
Hivi kule Beijing si mlienda kudai usawa au nakosea hebu nikumbusheni??? MWANAMKE AKIWEZESHWA ANAWEZA
kwenye mambo ingne usawa yes si KUCLEAR BILL...bill ya mwanaume
sasa ukichwa wenu utakuwa wap km mimi nikilipa wewe umejibanza kwa nyuma?
aaahh apana mi nafata MAANDIKO BWANA ..mwanaume ndo wa kutunza familia na KIPENGELE IKI NAKIZINGATIA SANA ....stak kwenda moton mie..na stak kukunyima nafasi ya kuexercise UANAUME WAKO..
umepona baba?
mith u jaman...
Mwanaume ndiyo kichwa Blue Balaa,Kulipa Bill zote za Maisha ndiyo kiume and its biblical!
Primarily kazi ya mwanamke tangu kuwekwa kwa misingi ya Ulimwengu ni Kuzaa tu,sio kuzalisha mali!
In my opinion,mwanamke akiamua kulipa bill yeyote hata nyumbani ni HISANI!!
Yeye kazi yake kumliwadha Mume na kulea watoto;Whereas kazi yako ww ni KUMPENDA(Including kulipia bill zake zote na za watoto kutoka ktk tumbo lake)
Hapa Issue sio usawa,hakuna Usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke,Mungu mwenyewe katika Hekima zake alitutofautisha na alikuwa na kusudi! He created Potential Difference(P.D) btn a man and a woman ili waweze kuhusiana!
Sehemu ambayo hakuna P.D uhusiano hufa kuanzia!!
Imeandikwa "nanyi wake WATIINI waume zenu km kumtii kristu",nanyi Waume WAPENDENI wake zenu...."
Kwa mantiki nyepesi tu Mamlaka ndogo hutii kwa Mamlaka Kuu,Mke(mamlaka ndogo) hutii kwa mamlaka kubwa(Mume).
Lakini km ilivyokuwa restrictive,Utii huo ni "km kumtii kristu" yaani katika yaliyo Mema!
Sio wewe unataka kula ndogo halafu unataka hakutii!
Mwanamke ambaye hutaka kujiinua juu ya Mwanamke sio tu anadosari katika Ubongo wake lakini anastahili Maombezi!!
Wanawake wapumbavu huzivunja Nyumba zao kwa mikono yao wenyewe-Biblia
So i call upon all fellow men to enjoy and derive pleasure paying their wives bills mpaka mwisho wa "maisha" hapa duniani!!
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeen...😛ray:
Tulienda kudai usawa kwenye pesa zenu, kwenye mali zenu kama mirathi n.k sio kulipa bili bar au kiingilio disco...
Hivi kwanini mademu hata akiwa mke wako bila kujali kipato chake kikoje mnapokuwa either mmetoka au kuna shughuli yoyote mnafanya inayohusisha mambo ya malipo wao wanakaaga pembeni kabisa kwenye malipo. Hata mkienda disco wewe ndo ulipe kiingilio.
Ni kitu wazi tuache ubishi we angalia bar, restaurant, shopping za nyumbani, ada za watoto etc etc
Mwanaume ndiyo kichwa Blue Balaa,Kulipa Bill zote za Maisha ndiyo kiume and its biblical!
Primarily kazi ya mwanamke tangu kuwekwa kwa misingi ya Ulimwengu ni Kuzaa tu,sio kuzalisha mali!
In my opinion,mwanamke akiamua kulipa bill yeyote hata nyumbani ni HISANI!!
Yeye kazi yake kumliwadha Mume na kulea watoto;Whereas kazi yako ww ni KUMPENDA(Including kulipia bill zake zote na za watoto kutoka ktk tumbo lake)
Hapa Issue sio usawa,hakuna Usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke,Mungu mwenyewe katika Hekima zake alitutofautisha na alikuwa na kusudi! He created Potential Difference(P.D) btn a man and a woman ili waweze kuhusiana!
Sehemu ambayo hakuna P.D uhusiano hufa kuanzia!!
Imeandikwa "nanyi wake WATIINI waume zenu km kumtii kristu",nanyi Waume WAPENDENI wake zenu...."
Kwa mantiki nyepesi tu Mamlaka ndogo hutii kwa Mamlaka Kuu,Mke(mamlaka ndogo) hutii kwa mamlaka kubwa(Mume).
Lakini km ilivyokuwa restrictive,Utii huo ni "km kumtii kristu" yaani katika yaliyo Mema!
Sio wewe unataka kula ndogo halafu unataka hakutii!
Mwanamke ambaye hutaka kujiinua juu ya Mwanamke sio tu anadosari katika Ubongo wake lakini anastahili Maombezi!!
Wanawake wapumbavu huzivunja Nyumba zao kwa mikono yao wenyewe-Biblia
So i call upon all fellow men to enjoy and derive pleasure paying their wives bills mpaka mwisho wa "maisha" hapa duniani!!
Nipo nimepona lakini una kesi ya kujibu kutohudhuria vikao vya Bunge
Huyo hakupendi akupendae kwa dhati siku moja moja lazima na yeye ajitolee hata kama ni kidogo
Darlingtone umeamka salama mpendwa uliishawahi kulipa bili bar kama bado jaribu lakini DON'T TRY THIS AT HOME