Wanawake hawapendi cost sharing?

Huyo hakupendi akupendae kwa dhati siku moja moja lazima na yeye ajitolee hata kama ni kidogo

anampenda sana ndo mana HATAK AMWACHE AENDE MOTON kwa kutowajibika kulipa bili zote km maandiko yanavyosema..MWANAUME NI KICHWA....na amtunze mkewe.
 

Hizi tuhuma nimezisikia watu wabaya dah, nipo mzima wa afya sasa weekend hii nilikuwa na plan kutoka halafu wewe ndio unilipie kila kitu sasa itakuwaje???
 
Kuna jamaa yangu ikifika wakati wa kulipa anaanza kuimba ''Nilipie mpenzi, mpenzi nilipie wife anajibu nakulipia honey'' baada ya hapo inalipwa mambo yanaisha.
 
eva alitofautiana nao kidogo kwa kushare lile tunda na adam ingawa ndio iliyokuja kutucost kizazi chote mpaka kesho.

una maanisha kuwa tujivunze kwa adam na eva, adam alipokubali kushare kutoka kwa eva,......disaster. Unaweza ukale vyenye influence ovu?
 
Saa nyingine wababa wakilipiwa wanasahau majukumu yao ndio maana unakuta mama anaona abane tu mimi huwa ninalipa nikiona kweli mpenzi amebanwa huwa najitahidi kushare baadhi ya cost lakini nikiona ndio umefanya mazoea na kujisahau nakukimbizaje? naacha kabisa kutoa changu mfukoni so wamama kuna kipindi labda cha mwisho wa mwaka kuna sikukuuu, kodi za nyumba, ada za watoto bili na mahitaji mengine muhimu sidhani kama unakipato kinachoridhisha halafu majukumu yote wamuachia baba, anaenda hadi kukopa we umeuchuna tu kweli utakua humpendi.
 


Baada ya Hawa/Eva kumshawishi Adam wale tunda Mungu alisema Mwanamke atazaa kwa "uchungu" na Mwanaume atatafuta kwa jasho lake. Kwahiyo mchezo ulishaisha zamani ndio maana tunachotafuta kwa jasho letu lazima hawa tunaowazalisha kwa uchungu wakifaidi.
 
MWANAUME NI KICHWA.
nikilipa ntakuwa nawadhalilisha na kuwapunguzien HESHIMA YENU..so najiweka kando utekeleze UANAUME WAKO....
au na nyinyi mnataka usawa..????????????

Na mwanamke ni shingo anakipeleka kichwa atakapo.
 
Na kwa taarifa yenu, mkipenda sana kushare cost na wanawake manajiondolea ile title ya kuwa kichwa cha nyumba ambayo inaendana na kujiondolea respect kama mume, usitegemee mke akuthamini na kukuheshimu huku unamtaka awe 50-50 kwenye maswala ya cost.
 
Baada ya Hawa/Eva kumshawishi Adam wale tunda Mungu alisema Mwanamke atazaa kwa "uchungu" na Mwanaume atatafuta kwa jasho lake. Kwahiyo mchezo ulishaisha zamani ndio maana tunachotafuta kwa jasho letu lazima hawa tunaowazalisha kwa uchungu wakifaidi.

Ndivyo ilivyoandikwa, msitegemee tuzae kwa uchungu na bado nyie tuwasaidie kutoka jasho ili tule waote, kila mtu na abebe jukumu alilopewa na muumba.
 
Kuna wanaume year inn, year out hata kuwapamper wake zao kwa njia yoyote hawajui, na bado wana expect kulipiwa bills na hao hao wake zao, what for? ndo maana siku hizi ndoa zinavunjika , some men are so irresponsible. wana expect ulaini laini tu, hadi kodi za nyumba wanataka walipiwe, realy where will your pride as a man come from?
 
Usiwe na hasira, tunafuata sheria za Mungu.... Tutakula kwa jasho....

Jasho langu nakula mwenyewe, Jasho lako tunashea.... Mbona wewe huzai kwa uchungu???

Bora Adamu na Hawa wangekuwa wachina, wangemla yule nyoka aliyekuwa anawadanganya wale tunda.
 
Na kwa taarifa yenu, mkipenda sana kushare cost na wanawake manajiondolea ile title ya kuwa kichwa cha nyumba ambayo inaendana na kujiondolea respect kama mume, usitegemee mke akuthamini na kukuheshimu huku unamtaka awe 50-50 kwenye maswala ya cost.

baelezee!!!!!!
 

Fikra tegemezi, but si wote wenye tabia hizo ...wapo walioelimika na wanaonesha ushirikiano kwa kila jambo.
 

Hata mimi sipendi kabisa cost sharing, kwani baba si ndio kichwa cha nyumba jamani, naweza kushare ila isiwe kwa lazima, kwani baba anaweza kubeba mimba na kuzaa, atoe tu bwana ndio Mungu anavyopenda, mimi nitaziba vimapengo vidogovidogo tu
 

Kua uyaone! hayo ni mambo ya kawaida! ndo matunda ya mfume dume huo!
 

Mwe Edson wewe sijui nikupe nini, umenifurahisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…