Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........
Hebu nipatie na mimi labda yanaweza kunisaidia;kwasababu binafsi siwezi kujua ni yapi hayo ambayo unayamaanisha?Ni hayo hayo wasiyoyapenda wanaume. Yabadilishe tu ili ya-fit kwenye jinsia husika.
Ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........
Kuolewa saaaaaaaaaaaaaaana
Yani ukimwambia utamuoa bichwa linakua kuuuuuuubwa kweli
Hawapendi uchache. yaani usiwe broke, pili hawataki kusikia umechoka, akitaka we lazima umpe stahili yake. Tatu usimsifie demu mwingine . Ni hayo tu MATATU.
mengine yoote ni mbwembwe tu.
Hawapendi uchache. yaani usiwe broke, pili hawataki kusikia umechoka, akitaka we lazima umpe stahili yake. Tatu usimsifie demu mwingine . Ni hayo tu MATATU.
mengine yoote ni mbwembwe tu.
Wanapenda kupendwa (mapenzi ya dhati) na kujaliwa (care).Ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........
Hawapendi uchache. yaani usiwe broke, pili hawataki kusikia umechoka, akitaka we lazima umpe stahili yake. Tatu usimsifie demu mwingine . Ni hayo tu MATATU.
mengine yoote ni mbwembwe tu.
Mwanamke hapendi umwambie ukweli.........ukisema ukweli tu juu yake umemkosa.
Mwanamke ni mtu wa kupendwa kudanganywa kama mtoto mdogo.......hapo sawa.
UPO SAHIHI!lakini mkuu tatizo la wanawake ni kwamba hawataki kuumizwa,au kuteseka moyoni kwa jambo lolote la kimahusiano.ndio maana wanaona bora umdanganye ili ASIUMIE!
Swadaktaaaaaaa........Hawapendi uchache. yaani usiwe broke,
Nyie vijana wa2 nawatukua degree ya heshima......Mwanamke hapendi umwambie ukweli.........ukisema ukweli tu juu yake umemkosa.
Mwanamke ni mtu wa kupendwa kudanganywa kama mtoto mdogo.......hapo sawa.
na siku zote wanawake huwa wanapenda KUTONGOZWA MARA KWA MARA!ndo maana MAPLAY-BOY huwa wanawawin sana wanawake.so mkubwa kama utabahatika kuoa uwe unamtongoza waifu MARA KWA MARA!au vp?
...sijafanya bado ujinga huo! Mtu nishamuweka ndani bado tu niendelee kuomba omba na kubembeleza hata vilivyo 'halali yangu'... No way bana!