Wanawake Hawapendi nini?


Pretty, kununua gari kumbe is so 'unwise'...
 

Sasa ndiyo nini hivyo!msaada tutani au? acha hizo mkubwa anzisha thread yako, acha kudandia za wenzako!
 

Penny,
Hivi kumbe mwanamke anathamini mafuta ya kujipaka kuliko gari la familia?
 

Labda wanawake wa zamani hizo c wasasa, atapata walimu watamfundisha ujanja ukijashtuka mwana c wako tena.....
 
Ili kuboresha mahusiano kati ya wanawake na wanaume, na wanawake kwa wanawake wenzao;tukumbushane mambo gani ambayo wanawake hawapendi. 1, 2, 3, ........

...hawapendi uke wenza!
 
hil nalo neno mana inaweza kuwa haki yako na bado mwanamke anataka umbembeleze ndo akupe!
waswahili wanakwambia mtaka cha uvunguni...............................!
ha ha ha ha ha!
 
Hawapendi ujuane na wanawake walio na elimu chini yao ambao wanalipa zaidi yao kimvuto na tabia.
 
Penny,
Hivi kumbe mwanamke anathamini mafuta ya kujipaka kuliko gari la familia?
Hujanielewa ndugu, na maanisha yani hamjali mkewe na kumthani then unakuta hiyo pesa niseme pengine analewa tuu. Noana sasa utakuwa umenipata naona mfano nilioutoa ulikuwa tufauti kidogo.
 
Wanachukia sana nyumba ndogo zinawapiku kila kitu...

...nikiongeza msisitizo, tatizo wanalolichukia kutokana na nyumba ndogo ni pamoja na;

1. mwanaume kusahau majukumu yake kwa familia
2. mashaka ya maradhi ya kuambukiza
3. mtoto/watoto wa nje ya ndoa
4. ugomvi wa mirathi na haki za mama na watoto pindi mume akifariki.

...kazi na dawa 😀 inachekesha lakini ndio ukweli wenyewe;

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=d_B636opk9g&feature=related"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]​
 
Hujanielewa ndugu, na maanisha yani hamjali mkewe na kumthani then unakuta hiyo pesa niseme pengine analewa tuu. Noana sasa utakuwa umenipata naona mfano nilioutoa ulikuwa tufauti kidogo.

Nimekuelewa mheshimiwa.
 
Wanawake hatupendi WANAUME wenye kusafiri safiri sana.
Hatupendi kabisa.
 
Wanawake hatupendi WANAUME wenye kusafiri safiri sana.
Hatupendi kabisa.

hehehe si mtakuwa mnasafiri wote.
Nimeona madereva wa malori makubwa wanasafiri na mabibi zao pembeni akijisikia hamu anaweka kushoto mchuma anajipendelea.
 
hehehe si mtakuwa mnasafiri wote.
Nimeona madereva wa malori makubwa wanasafiri na mabibi zao pembeni akijisikia hamu anaweka kushoto mchuma anajipendelea.

OOOOOH!
Hao wanaosafiri nao si wake zao,
Hao wanaitwa Briefcase.
Huchukuliwa tu siku za safari.
Wake zao wako home wakitunza watoto.
Uliza uambiwe.
 
Mkono mtupu haulambwi.....na siku zote mapenzi ni pesa hivyo huwezi kusema mwanamke hapendi hela.

FIDEl,
sikuwa nimeiona hii,
Wanawake tunapenda MAPENZI KULIKO PESA.
Pesa huja baadae saana.
 
Wanawake tunapendwa "kupendwa", kuheshimiwa, mwanamme ukija nyumbani ule chakula cha nyumbani, unipe password ya bank account, tukiwa kwenye gari tuwe tunacheka sio unanuna kama umekamuliwa jipu, na mwisho kabisa uhakikishe kwamba tunapokuwa kwenye kipindi cha shughuli uwe una utundu wa "click" command ambazo ni active
 

Haya ndo manjonjo sawia.
Wnaume mpo?
 
FIDEl,
sikuwa nimeiona hii,
Wanawake tunapenda MAPENZI KULIKO PESA.
Pesa huja baadae saana.

Mhh!kweli Idda?
Mi nipo single wewe je? Naona wewe unafaa kwenye swala hili. Ukizingatia mi choka mbaya warembo wazuri iwa naogopa hata kuwasogelea.
 

Huku ndo kuchunwa sasa......nimeona mwanamke anamchuna hata mmewe mmmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…