BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 54
Kuna huyu mwanamke ambaye nikiwa kijana nilimfuatilia kwa muda wa miaka minne alikuwa bikra hakuwai kumuona mwanaume..tumekuwa marafiki kwa muda wote huo..sasa ikafika kipindi urafiki ubadilike tuwe wapenzi basi akataka niewe wazi, nikamwambia hisia zangu na ukweli kuhusu maisha yangu yote ya mapenzi......huwezi amini aliondoka akiwa kawaida lakini toka siku hiyo mawasiliano yakapungua na sikumuona tena na sababu zikawa nyingi. mwisho wasiku alimpata mtu ambaye alikuwa mchafu kuliko mimi. so women why you cant handler the truth?