Wanawake hii nayo ni romantic ?

Wanawake hii nayo ni romantic ?

Francis Mawere

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
958
Reaction score
831
Alaf wale Madem wanaowavua maboy wao KOFIA alaf wanakimbia nayo thinking its FUNNY and ROMANTIC.. Hiv nyie mkivuliwa MAWIGI wakakimbia nayo mtajiskiaje?
 
Kaka ukitaka kugombana na mwanamke mvue wigi utakua unavuta bangi central.
 
Back
Top Bottom