Anataka kukupga juju huyo.
Jamani....Ushauri mwingine ni kama nguvu za giza. Hivi huyo IGWE mnataka apendweje? Mwanamke akiwa simpo mnasema anataka kumroga, akiwa anapenda shopping na vitu vya anasa mnasema ana tamaa. Lipi jema?
Mimi naona hiyo ni GESTURE yake tu kwako kwamba anakuwa na amani zaidi moyoni mwake pale anapoona chako ni chake na chake ni chako! Na je wewe unaweza kwenda kwake au bado anaishi na wazazi wake? Ungekuwa na uwezo wa kwenda kwake ungeweza kujua vitu anavyochukua kwako anavithamini kiasi gani!

Bado anaishi na wazazi wake mkuu,
Ah sori mkuu sikusoma vizuri address.[/QUOTE]
kwani kuna tatizo......
tatizo lipo..uenda apend upake ayo mafuta...yanamnukia vbaya labda
au apend uvae ivo vdan na kukuonyesha labda uvae chen..lakion chen kwa mwanaume mhh
uenda anakupenda na anapenda kila kitu chako
inawezekana anaona mnafanana fanana,anavyotumia yeye nawe unatumia.msichana anakuja kwangu,.....ushauri nausubiri
Anakupenda sana huyo anaona wewe una vitu vya chini yeye vya juu ndo maana anataka mlingane
sasa hiyo si dharau.... anakudharau huyo..Mie ningeona ni matusi..
dah angalia vizuri anaweza kuwa anachukua hata nyele na nyayo zako anapeleka kwa babu, hapo hutoki tena.... usimuulize kubali matokeo
sidharauriki wala kutukanika kirahisi hivyo mkuu.......
lina rangi ya pinkhilo vumbi la bara likoje mkuu,...