Wanawake hili lina maana gani

Ladies and Gentleman:
I didn't check out if the post writer is a man or women. But what she wrote is very serious issue.A month a go i solved one problem similar to this. There are lot of questions which need to be answered before getting good answers.
In shot you should ask where those things are taken to. Brothers and sisters, this world is so rotten, so many things happen in the way looks like normal, but there is a secret hidden.

I will write more about this tomorrow. i have flight to catch.
 
Naamini ana akili timamu na vitu vyote ni vyake kabisa nina uhakika na hilo,....na kiukweli sio kwamba amenizidi kipato i.e vitu kama cheni za dhahabu nina uwezo wa kununua pengine kuliko hata yeye ila napenda vitu vya asili kama vya kimasai.

Sasa kama una uhakika na hayo,inaonekana hapendi muonekano wako unapovaa vitu hivyo,ndio maana anakuletea vyake ili uvae na kuwa atakavyo yeye.
Hili ni tatizo kimahusiano kwani anatakiwa akukubali kama ulivyo hasa kama hivyo unavyovaa havikudhalilishi kwa namna moja au nyingine.
 
anajitahidi kukuelewesha kwamba anataka kuishi na wewe na amekubaliana na kila kitu chako lkn wewe ndo mwamuzi wa mwisho. hivyo vitendo ni mafumbo ana maanisha chake ni chako.......
..mazee bado kuacha kufuli yake 2 huyo then aondoke na yako ameshakolea huyo.....haaaah haaaah haaaaaa!!!
 
acha kumpoteza mwenzio mkuu,hlo juju anatengenezewa,we hujui mbinu za wadada nin?
 
Anataka kukupga juju huyo.

dah angalia vizuri anaweza kuwa anachukua hata nyele na nyayo zako anapeleka kwa babu, hapo hutoki tena.... usimuulize kubali matokeo


acha kumpoteza mwenzio mkuu,hlo juju anatengenezewa,we hujui mbinu za wadada nin?
Nakubaliana na nyinyi wakuu kuna rafiki yangu mpenzi wake alihisi anatembea na mwanamke mwingine akaja kwa jamaa nakuondoka na chupi yake chafu sasa kila jamaa akienda na demu wa nje hadindi kwa huyu mpenzi mambo safi jamaa akaenda kwa mganga na kuambiwa kila kitu na akapona na kuachana na yule msichana,haya mambo yapo tena sana tu.
 
Naunga mkono Hoja.
 
Ngoja utakapowekwa kwenye chupa ndipo utakapojua...Chukua hatua...aagh sorry kumbe hii ni kwa kina dada, kwaheri!!
 
Ngoja utakapowekwa kwenye chupa ndipo utakapojua...Chukua hatua...aagh sorry kumbe hii ni kwa kina dada, kwaheri!!
mhhhh sizinga, hayo ndio mahaba ya kumweka mtu wako karibu, najua nikichukua kitu chako, lazima utanitafuta tu
 

Umenichekesha yaheee, Have a nice flight, don't 4get your transit otherwise it will be a massive disaster at the airport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…