mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
Umetoka nyumbani kwako, umevaa kitopu kifupi na kimini kiko juu ya mapaja.
Umepanda daladala, ukisimama tabu, ukikaa tabu.
Maana ukisimama basi kile kitopu kinapanda juu angani...mambo yote njenje.
Ukikaa sasa ndo balaa...unatupiga picha abiria wenzio hadi tunapitilizwa vituo bila kujijua...maana safari inakuwa fupi mno.
Sasa pale uliposimama unahangaika kukirudisha kile kitopu chini...kila ukikirudisha kinapanda..unakirudisha kinapanda.
Na kimini nacho hivyo hivyo...unang'ang'ana kukivuta chini...hivi unadhani kitaongezeka!? Kwa nini usingenunua cha size hiyo unayotaka..yaani unapokivuta si unataka kifikie sehemu fulani..! Sidhani kama ulikosa nguo ya size hiyo unayoitamani wakati huu unapohangaika kuivutavuta.
Badilikeni bhana..! Vinginevyo tuachie tu hiyo senema.