Wanawake, hivi mnapotoka nyumbani huwa hamjijui kuwa mmevaa nguo fupi?

ni kwann mtu unavaa nguo ambayo kwanza ww mwenyewe unakuwa unconfortable?mara umevuta chini mara kitop kimepanda duh,nadhani kuna watu hawajui tofauti ya nguo za mchana na usiku
 
mwanamke kimin babu,hasa ukiwa na ngozi nyororo huku umepiga heelz za kufa mtu, ila kimin raha yake uwe kwenye gari yako sio umeshika mkuki wa daladala inakua noma.

Vipi tayari Cheusi? hapa

A baby is something you carry inside you for nine months, in your arms for three years and in your heart till the day you die
 

Akili kichwani mtoto.
Jamii zima ingekuwa inavaa hivyo 2singekushangaa. Lakini jamii inajiheshimu we unafunua mapaja yako.

Hata bushmen walipomwona mtu amevaa nguo walishangaa.
 
AISEE WADADA MI MNANIKERA KWELI. Mara nyingi wadada zetu, kutokana kuvaa vimini na vitop vyenu, MNATUAMSHIA WALIOLALA BILA YA RIDHAA YAO! Warembo wetu jaribun kupunguza huo uvaaji, ata kama home unaambiwa umependeza
 
Kuvuta au kutokuvuta it's my bussiness, ni hiari yangu na haimuhusu mtu mwingine,huyo anayekereka hana kazi na muda wake.

kwahiyo hata ukivaa nguo ndefu huwa unaivuta pia?
 
Ndio maana nikauliza mtu mwingine inamuhusu nini to start with,nipandishe nishushe yeye haimuhusu hata hivyo.

kwani inamuhusu nani unapotembea uchi wa mnyama mtaani?ukiwa ndani kwako je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…