Kwa uchunguzi wangu nimekuja kugundua wanawake siyo wabunifu na ni wavivu wa kujiongeza.
Yaani ni kama hawafanyi mambo kwa kujiongeza.
Mfano anaweza kushindwa hata kupachika laini ya sim au
Au pakiwa na kitu cha kutumia akili ya kujiongeza huenda akashindwa wao wana fanya mambo kimazoea akijuacho ndiyo atakifanya kufanya kwa kujiongezea mbinu mpya ni ngymu kwao.
✍️ila siyo wote ila walio wengi wako hivyo.
Wale wengi sio kwamba wanashindwa. Wakiwa wenyewe wanaweza.
Wakiwa na wewe wanataka uwafanyie.
Kwao wengi, hata kama wanaweza, wewe kuwafanyia ndio wanaona ishara ya upendo.
Ukiwa haupo wengi wanaweza kufanya wenyewe.
Na hata wanaume wengine wanapenda hiyo nafasi ya kujionesha wanawafanyia wanawake kitu.
Yani wakipata mwanamke anayeweza kila kitu wanaona wamechukuliwa sehemu fulani ya uanaume wao.
Kwa hivyo, wewe unaweza kuona wanawake hawawezi kujiongeza kwa sababu hawawezi kufanya mambo fulani madogo, kumbe wenzako hapo ndiyo wamejiongeza kujifanya hawajiongezi.
Hujawahi kusikia wanaume wanalalamikia wanawake wanaonua kila kitu?
Ila pia kuna wanawake wengine hawajajiongeza tu kiukweli wamebweteka.
Ila nao unaweza kukuta wanajiongeza sana kwenye kukata viuno huko.