Wanawake hupenda kuonewa wivu……!

Mkuu naona umewekeza kwenye hii sekta. Hongera sana.
 
mimi banafsi sitaki umuoneshea wivu cz atajua nimezimika mbaya,hata cm ikiwa biz no ques kwake kawaida tu.
 
mimi banafsi sitaki umuoneshea wivu cz atajua nimezimika mbaya,hata cm ikiwa biz no ques kwake kawaida tu.
Nyie ndio huwa mnajiua, wivu unao lakini unakuwa unaumiwa tu moyoni.....
 
May be tunatofautiana, mpezn wa kwako kujikausha ya nn jaman,yani mie nikipenda hakuna cha kujikausha najiachia na kuipa nafsi yangu uhuru wa hisia,na wivu wangu lzm niucotrol ila nitamwonyesha kiasi kinachostahili yeye kujua naye lzm anionyeshe wivu wake kwangu ndio naenjoy na kujisikia kupenda na kupendwa!
 
Hajalijua hilo,hasira ni mojawapo ya kuonyesha wivu kwa umpendae!
 
nadhani huwa kuna vijitabia fulani ambavyo watu wanavyo navyo mara nyingi huwa ni mapungufu yao kama kutokujiamini au kuona aliyenaye hakutakiwa hivyo anajenga chuki au kuchukia kila mtu ambaye anaona inaweza kuwa rahisi kuwasiliana nae.. na wengi husingizia wivu lakini huwa naamini ni kujiendekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…