Huu ulimwengu kila kitu wanachofanya wanawake tunaona kibaya!

kwanini badala ya umbeya tusitumie neno kupashana habari?

Naona wanawake kama ni wazuri sana kwenye kuspread information.

mkuu mimi nimewasilisha tu! Hoja ilishatolewa na imeungwa mkono. Sasa wanaosema ndio...,.!? Wanaosema sio....!?
Daaah! Hawana kazi za kufanya au??Kwa wanawake wa bongo umbea ni zaidi ya masaa 8
Sioooooooo!

mkuu mimi nimewasilisha tu! Hoja ilishatolewa na imeungwa mkono. Sasa wanaosema ndio...,.!? Wanaosema sio....!?

hilo nalo ni neno. umeamua kuwaamkia leo.

inabidi kwa kweli watoe maana ya umbea; maana yawezekana na hii mitandao ya siku hizi wengi tunaweza kuwa tunahusishwa humo. Jiulize tu unatumia muda kiasi gani kwenye MMU au FB

Mada hii ingekuwa zaidi kama ingeeleza na upande wa wanaume. Hivi hamjawahi kukutana na wanaume wambea kweli? ni desturi tu inmezoeleka kwamba wanawake huwa ni wambea, lakini kuna wanaume ambao ni wambea kuliko hata wanawake. Upo ukweli kuwa wanawake ambao umbea ni sehemu ya maisha yao, ila msisahau wanaume pi wapo tena wapo tele, so tuwe franky
Utafiti uliofanywa nchini Uingereza umeonesha kwamba wa wanawake hutumia saa 5 kwa umbea, udaku na mambo kama hayo ndani ya siku 1.
Soure: tbc, uchambuzi wa magazeti.
My take: Kama hali ipo hivyo na muda wa kulala ni saa 8, basi wao hutumia nusu siku tu kufanya mambo ya maana!