Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu.
Mwanamke akiwa mchawi anakuwa mchawi wa kutisha. Mwanamke akishaamua ashike mtutu wa bunduki asonge mbele, hakuna cha kumzuia.
Mwanamke akiamua kuuza "Papa" anauza mchana peupe, hadharani. Mwanamke ukimzingua, haoni hatari aitwe mjane, we jichanganye tu na umchukulie poa uone anavyokukata pumzi.
Mungu hakukosea alipowausieni muishi na mwanamke kwa akili!