Wengine wanakukata choo kwanza kama onyowe jichanganye tu na umchukulie poa uone anavyokukata pumzi.
Nawe ni mkatili?Nimekuja kusoma comments π€π€
Nimekuja kusoma comments π€π€
Sina ujasiri huoo.....Nawe ni mkatili?
Hapopoliwi mtu hapa. GENTAMYCINE atamjakikishia usalama wakeπππ subiri waje kukupopoa
Ushauri Mzuri........Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu.
Mwanamke akiwa mchawi anakuwa mchawi wa kutisha.M wanamke akishaamua ashike mtutu wa bunduki asonge mbele, hakuna cha kumzuia.
Mwanamke akiamua kuuza "Papa" anauza mchana peupe, hadharani. Mwanamke ukimzingua, haoni hatari aitwe mjane, we jichanganye tu na umchukulie poa uone anavyokukata pumzi.
Mungu hakukosea alipowausieni muishi na mwanamke kwa akili!
Hebu nisalimie kidogoSina ujasiri huoo.....
Uzi wa kibabe sana huu