Wanawake huwa mna roho za namna gani?

Kuna rafiki yangu amewahi kumtukana galfrd wake matusi ya nguon bt cha kushangaza huyu binti hakomi,bado tu anamg'ang'ania msella.sa hayo ni mapenzi au ujinga maana keisha tukanwa sana pamoja
na kufanyiwa kila aina ya vituko lakni hakomi?

Ww hujui mapenzi ww unaona kwa nje tu, matusi ndio nini ukilinganisha na utamu wa sex na labda anampatia matumizi kibaoo, pia ukute demu anapata sex full kuzimia almost, yaani utamuuu nusu kupoteza fahamu na matumizi kibao matusi ni nini? Wengine wanapigwa na hawaondoki ng'o na niseme wanaume wenye mwelekeo wa maisha siku hizi ni wachacheee saaana, life lime chenji sana labda huyo mwanaume wake anajiweza saaana kifedha pia sex usipime, ukute mwembamba mrefu hivi, demu hatoki ng'o sisi twapoteza muda hapa, saa hizi labda wanabanjuana wananena malavida language, sisi twaongea tu na ndio maana hajaja hapa kureport yupo calm, mapenzi yaache...
 
Always ukiwa Mr very nice wadada wanakuendesha lakini ukiwa a bit harsh with some good love, mdada mara zote atang'ang'ania kuendelea kuwa nawe.
 
wanaroho ya huruma na upendo wakweli,ukioa utajua faida ya hivyo walivyo
 
tunajua kupenda watu kama huyo rafiki yako asiye na adabu kwetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…