ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hili Ni swali kwa wanawake Tu wenye kusoma biblia na qurani wanaoijua habari ya binadamu wa Kwanza Sasa nataka nijue maono gani pale waga mnaonyeshwa na roho ya MUNGU ya kweli maana sote tunakubali pale ambapo maisha yalianza adamu na Hawa Kuna maagizo lakini inawezekana adamu sio binadamu wa kwanza Bali ni kila Mwanaume maana kwa MUNGU kiroho wewe Ni Kama wa Kwanza kwake nahisi Yale maagizo yanawataka watu wote au hakuna kahadithi kanafaa kidogo tukajue.
Binafsi Mimi navoelewa Ni kwamba matunda yanayozungumziwa Ni watoto,mti wa katikati Ni sehemu ya nyeti zetu au niseme via vyetu vya uzazi,nyoka anayesemwa pale sio huyu snake Ni maybe sijui niseme tamaa,uzembe uvivu,anasa uwongo, ujinga yaani means vitu ambavyo sio hai Bali Ni materials tu Tena ya uovu ndo yanapresent nyoka.
Halafu malaika walioasi ndo sisi watoto wa binadamu tusio kubali kunyenyekea kwa MUNGU Yaani watu wote ndo tukitenda dhambi tunafukuzwa mbinguni ambapo Sasa mbinguni Ni pale ambapo connection yako(Imani) na MUNGU ipo sijui nisemaje Ila neema za MUNGU ndo zitabaki na wale malaika wachache wakiongozwa na mashahidi wengine wengi ambao wapo Wana rehema wako mlango wa MUNGU.
Cc Mshana Jr
Sent using Jamii Forums mobile app