Wanawake huwa mnafikiria Nini mkiiwaza stori ya adamu na Hawa bustanini

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Hili Ni swali kwa wanawake Tu wenye kusoma biblia na qurani wanaoijua habari ya binadamu wa Kwanza Sasa nataka nijue maono gani pale waga mnaonyeshwa na roho ya MUNGU ya kweli maana sote tunakubali pale ambapo maisha yalianza adamu na Hawa Kuna maagizo lakini inawezekana adamu sio binadamu wa kwanza Bali ni kila Mwanaume maana kwa MUNGU kiroho wewe Ni Kama wa Kwanza kwake nahisi Yale maagizo yanawataka watu wote au hakuna kahadithi kanafaa kidogo tukajue.

Binafsi Mimi navoelewa Ni kwamba matunda yanayozungumziwa Ni watoto,mti wa katikati Ni sehemu ya nyeti zetu au niseme via vyetu vya uzazi,nyoka anayesemwa pale sio huyu snake Ni maybe sijui niseme tamaa,uzembe uvivu,anasa uwongo, ujinga yaani means vitu ambavyo sio hai Bali Ni materials tu Tena ya uovu ndo yanapresent nyoka.

Halafu malaika walioasi ndo sisi watoto wa binadamu tusio kubali kunyenyekea kwa MUNGU Yaani watu wote ndo tukitenda dhambi tunafukuzwa mbinguni ambapo Sasa mbinguni Ni pale ambapo connection yako(Imani) na MUNGU ipo sijui nisemaje Ila neema za MUNGU ndo zitabaki na wale malaika wachache wakiongozwa na mashahidi wengine wengi ambao wapo Wana rehema wako mlango wa MUNGU.
Cc Mshana Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana jr ni mwanamke? Mbona umemuita kwenye mada ya dada zake.
Mshana namtii Sana ameonyesha Ni mtu mwenye uelewa wa Mambo mengi japo huwezi kufunuliwa yote nilitaka tu aje atazame niliyoandika sio maada mbaya Sana Ni swali la zuri mnipe jibu kikubwa tuwe wema tuishi kwa akili tusidanganywe na tamaa Wala tusichukiane binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani wanatamani shetshet arudi mara ya pili wapindue hii dunia kabisa
 
Ila neema za MUNGU ndo zitabaki na wale malaika wachache wakiongozwa na mashahidi wengine wengi ambao wapo Wana rehema wako mlango wa MUNGU.[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 

Macho ya rohoni huona zaidi ya kuona | Sauti ya rohoni husikika zaidi ya kipaza sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…