mmmnhhhhhh inaelekea unapenda kuhonga,wenzio wanatumbua bure hawatoi pesa..shaurilo
Kama huelewi maana ya kumega,,umejuaje ni tusi?
Nilimmega demu mmoja nikampa mshiko akanitukana mbaya, akaniambia unanipa pesa za nini? umeniona mimi malaya sio akaniambia dont do it again, akaniambia i make love with you because i love you not your money. hanipip akiwa nashida na mimi, anakwenda hewani, tokitoka out for lunch, some time she pay some time i pay.
Yah kama anao owezo why not, ila kwa mfano unatoka na msichana hana kazi au mwanafunzi bado lazima umpe nguvu mwendoNilimmega demu mmoja nikampa mshiko akanitukana mbaya, akaniambia unanipa pesa za nini? umeniona mimi malaya sio akaniambia dont do it again, akaniambia i make love with you because i love you not your money. hanipip akiwa nashida na mimi, anakwenda hewani, tokitoka out for lunch, some time she pay some time i pay.
<br />Maswali mawili ya nyongeza 1. Hivi ilikuaje mpaka hyo malighafi ikaitwa kitumbua? Je! Kuna uwezekano nyingine zikawa ni kitu mbwaaa! 2.Swali la pili- Kwa kuwa hyo kitu inaitwa kitumbua, na kwa kuwa ulaji wa kitumbua huhusisha kukimega, je! Neno "kumega" lilizaliwa baada ya hyo kitu kubatizwa jina la kitumbua?