Wanawake.....huwa mnajisikiaje?

Lol..wanawake bana!
Wanamegwa,
Wanachakachuliwa,
Wanaliwa,
Haya maneno yote yanakubalika?

maneno ya kuudhi kila jamii yapo
muhimu ni wewe unaamua kushiriki vipi?
kutumia maneno sahihi ya heshima au na wewe uta go with the flow???????
 
Kweli JF mmedata, misamiati miingi kwa kitu kimoja.Haya raha anaipata nani zaidi na kwanini?
 
maneno ya kuudhi kila jamii yapo<br />
muhimu ni wewe unaamua kushiriki vipi?<br />
kutumia maneno sahihi ya heshima au na wewe uta go with the flow???????
Mimi nawaheshimu sana wanawake,
Nakuwa selective sana pale ninapoadress ishu ambayo itawakera dada zetu!
 
Mimi nawaheshimu sana wanawake,
Nakuwa selective sana pale ninapoadress ishu ambayo itawakera dada zetu!

basi uache hayo maneno ya kuchakachua na kumega...
hayaongezi lolote zaidi ya maudhi kwa wadada
 

uKISEMA UMEMMEGA, TAYARI UMEMDHALILISHA MWANAMKE( KAMA NI MPENZI WAKO), WANAOMEGWA NI WALE UNAOKOTA BAA NA KWINGINEKO UNASTAREHE UNAACHA, LAKINI MPENZI WAKO WA DHATI UNAYEMPENDA, UNAYEPANGA NAYE FUTURE, HUWEZI UKATUMIA NENO KUMEGA MNAPOKUWA MMEFANYA TENDO LA NDOA, BALI "ITAKUWA UKITUMIA NENO KAMA KUKUITANA NAYE KIMWILI" LINGINE NI HILI WANAWAKE WANAOITWA WANAMEGWA NDO HAO AMBAO WAPO TAYARI KUCHEZEWA KIMWILI NA KUACHWA NA WAO WANAKUBALIANA NA HALI HIYO, NA NDIO WENGI WAO AMBAO HUPOKEA NA KUDAI ZAWADI BAADA YA HIYO KUMEGWA.
 
Mimi ukinipa pesa/zawadi papo hapo ntajiona malaya, kama ni zawadi bora unipe siku nyingine......
 
Wanaewake wanajisikaiaje .... swali halijibiwi... thread imejitengenezea hoja na mambo yanaendelea!!
 
Lol..wanawake bana!
Wanamegwa,
Wanachakachuliwa,
Wanaliwa,
Wanatiwa,
wanabanjuliwa
wanadandiwa
Haya maneno yote yanakubalika?

Samahani mkuu Nimekuongezea hapo kwenye redi,
Haya maneno hayakubaliki ila yanatumiwa.
 
Mimi ukinipa pesa/zawadi papo hapo ntajiona malaya, kama ni zawadi bora unipe siku nyingine......
Zawadi ni zawadi we chukua tu... huenda anakupa kwa kumfikisha?
 
Jaman wanawake ndo wanahisi raha zaidi,hebu fikiria mkuna na mkunwaji ni nani huwa anahisi raha?ila kuhusu swala la pesa washazoea hako katabia,halafu wanadai haki sawa,hakuna haki sawa hapa wanawake siku zote watabaki kuwa viumbe dhaifu tu
 
Huu ni ufisadi!wote mnapiga mtanange then men unamtoa?asikuambie mtu mkuu wanawake ndo wanaenjoy game kuliko sisi.kuhusu kifuta jasho Sio wote na ukiona anakubali hiyo takrima ujue si wako peke yako,ni wa wengi kwan akili na wawazo yake hufikiria yupi anatoa takrima kubwa baada ya mtanange.mwanamke wa hvyo hafai kuoa kwan ni mbinafsi.ufisadi shenz!
 
Huu ni ufisadi!wote mnapiga mtanange then men unamtoa?asikuambie mtu mkuu wanawake ndo wanaenjoy game kuliko sisi.kuhusu kifuta jasho Sio wote na ukiona anakubali hiyo takrima ujue si wako peke yako,ni wa wengi kwan akili na wawazo yake hufikiria yupi anatoa takrima kubwa baada ya mtanange.mwanamke wa hvyo hafai kuoa kwan ni mbinafsi.ufisadi tu huo,shenz!
 
<br />
<br />
Dah nitabhatika kweli demu wa aina hiyo ktk ulijali wangu!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…