Wanawake.....huwa mnajisikiaje?

Anapewa hela kwa ajili ya supu, nauli hasa kama mlitoka mbali na makazi yake.
 
<br />
<br />

Hapo umempata mkuu, ushauri wangu tu uendelee naye, kwasababu maisha ya leo ni 1/1,000 utampata wa hivyo.
 
Wanawake tunaenjoy kumake love; sana tu siwezi linganisha na wanaume coz sijawahi during the coz of 30+ yrs of my life kuwa mwanaume!

Kuhusu kulipwa/ hongwa inategemea na nature ya relation if any! If u need a certain service, obvious u sometimes need to pay for that! Sex (not love) can be a service which is mostly needed by men; n that's why u need to pay for it iwe b4 or after depends on makunaliano!
Siku hizi kuna baadhi yetu pia hutaka hiyo service n we go ahead n look for it n it cost us!

Sidhani kama nahitaji kustress kuwa when it comes to love; it is not easy to buy love a two way traffic love! It doesn't feel good to both of buyer n seller unless it is one way traffic, a buyer is in love a seller is not!

Natumaini nimekujibu!
 
tusiwadhalilishe wanawake jamani kwa kuwaita vitumbua. hawa ndo mama na dada zetu. tuwape kwanza heshima zao kisha mengine baadae. kukubali kwao kufanya tendo la ndoa haimaanishi ni wadhaifu bana
 
Wanawake watoe majibu ya msingi!
 
Oyaaaa, mbona miii nawagonga kinomanoma na senti tano siwapi na kesho wanarudi nawamega tena kisawasawa,,, acheni kupotosha mazee
 
Mimi huwa simpi hela maana huwa naona kama kumdhalilisha mwanamke,na nikijua anashida ya hela siku ninayokutana naye si date naye.
 
Matamaa yenu tu! Huwa sitoi chochote baada ya game. Ila akiwa na hitaji namsaidia. Na sipendi na sitopenda kudaiwa pesa baada ya mambo fulani na ndo maana hata siku moja siwezi kutana na mrembo nikaomba game siku hiyo hiyo - ni mpaka nimchunguze yuko katika mwelekeo upi?
 
  • wengine wanasema:
  • wanapakuliwa
  • wanaliwa mzigo
  • wanapigwa mkasi
  • wanachanyatwa
Duh!...............................
 
au kinaitwa 'unyevu'. unaweza kusema 'kumega' au 'kuosha rungu' yote poa tu!!!!!
 
Nahisi harufu ya udhalilishwaji, sioni swala llt la msingi linalojadiliwa hapa na hakuna atakayetoka na faida ht kdogo, tendo hilo ni baina ya watu wawili waliokubaliana, km kuna anayetoa pesa au kupokea pesa huo pia ni uamuz wao hvy msimdhalilishe mwanamke kwa kumuita majina ya hovyohovyo kwani ki2 hicho mnachokipachika majina ndo kinawahangaisha usiku na mchana
 

wewe ni malaika au shoga.
 
Mimi ukinipa pesa/zawadi papo hapo ntajiona malaya, kama ni zawadi bora unipe siku nyingine......
Dora tufanye semina elekezi zawadi nitakupa siku nyingine
 
Khaaaaaaaa!<br />
Mkuu watendee haki hawa viumbe! Kukumbuka mama yako ni mwanamke pia, je hilo neno kinasadifu kwake pia? Mungu akulaani sheitwan wewe.
na ulaaniwe wewe unae mdrive mama wa mwenzio ktk ishu kama hii PUMBAVU MARA SABINI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…