Wanawake huwa wanapenda/kuhitaji nini?

Naomba nichangie tena kidogo;
Mwanamke anataka kukaa katikati ya moyo wa mumewe, sentesi hii ni pana.Nitaifafanua kidogo, yaani ajihakikishie kuwa nafasi yake kwa mumewe inatambuliwa na kupewa heshima yote. Yeye kama mdau mkuu wa familia yako kwa nini asijue kwa mfano, salary slip yako, kwa nini usimwambie unataka kununua shamba/kiwanja mpaka aambiwe na mtu mwingine kuwa mmeo ana shamba/kiwanja,kwa nini hajui a/c yako iko benki gani nk Yahitaji akili kuishi nao.

Na sisi wanaume tunakurupuka ktk uamuzi tunapooa,wengine wameoa qualification za wanawake sio mke.Mdada humjui( kukutana ofisini,au kuwa chuoni haitoshi hata kidogo),familia zingine zina laana(wanaume/wanawake).

Kuna moja kali niliipata Dsm, ukoo mzima hakuna mdada ambaye ameweza kuishi kwa mume zaidi ya miaka kumi bila kuachika,ila ni visura hasa na buku wamepiga la kutosha.
 
Hilo swali ni gumu kwakweli na halina jibu kwakua kila binadamu anazaliwa na tabia zake kwanza huwezi kusema wanawake wanatabia zakufanana hilo nakataa. pili unaweza kujitahidi kumtimizia mke wako wakati huo uo kunavitu unamkwaza bila kujua pengine hauko muwazi kwakwe unaanya mambo yako kwakificho, husiki mwanamke anapenda kubembelezwa nakujaliwa pengine we humjali wala humbemelezi kisa ushaoa basi.
 
Last edited:

Hapa dada lorain naomba nitafautiane nawe kidogo hilo la kumfata mumeo na kumsubiri pembeni au yeye kukufata kwenye kitchen party na kusubiri nje utaharibu,mimi niko kwenye ndoa zaidi ya miaka 10 na nina siku yangu ya 'night with the boys' na mke wangu pia ana siku yake ya 'catching up with the gossip' as she puts it.Jipeni uhuru na muaminiane mtaishi vizuri,usifatishe ule msemo wa 'abiria chunga mzigo wako' mtachokana haraka.
 
Men tend to think that everything that is important to them should be important to their female partners as well, while women are inclined to sacrifice what they want to please the people close to them
give and take

Each of us has habits and behaviours that get on the nerves of the people with whom we share our living space. There’s always going to be something about living with your significant other that absolutely drives you up the wall. The key to not losing your mind is to remember all the great things about spending time with your partner whenever you’re about to flip your lip over the pile of socks on the bedroom floor. Being a boy is not an excuse to leave all the housework to your lady. You’ll both have to make adjustments in order to keep the peace
 

Asante sana kwa jibu lako, nilikuwa sijui kumbe watu wakifatana fatana huwa wanachokana. Na kumbe huu msemo wakuchokana ni kweli upo. Dah! nimeishiwa nguvu kabisa, basi nadhani hamna haja ya kuishi na mwenza kama baadae mtakuja chokana! Ni heri kila mtu aishi kivyake leo nichukue fulani baada ya kuchuja kama nguo basi niangilie mwingine mpaya..... Ehe kweli dunia hadaaa, walimwengu shujaaaa. Nimepata kamshtuko kidogo kusikia hilo.
 


Your explanation is all about an abstract family on the earth!
 

Haika,

Can't you talk of a reciprocating love! Why should a man give everything to a woman especially in these days of HAKI SAWA KWA WOTE BILA KUJALI JINSIA!
 
Wanawake hawataki chochote cha ajabu, wanataka wanachoona wanaume wanakitaka wakitake
 

YAANI womenofsubstanchapa umesema ukweli over 90%. CONGRATULATION kwa kuwa una-experience ya marriage na umetoa soma zuri sana
 
Haika,

Can't you talk of a reciprocating love! Why should a man give everything to a woman especially in these days of HAKI SAWA KWA WOTE BILA KUJALI JINSIA!

anzisha mada ya watu wanataka nini katika mahusiano btn sexes.
kwa leo ni wanawake wanataka nini.

au wanawake wanatakiwa watoe nini/mchango gani? tutajadili tu bila hiana.
 
anzisha mada ya watu wanataka nini katika mahusiano btn sexes.
kwa leo ni wanawake wanataka nini.

au wanawake wanatakiwa watoe nini/mchango gani? tutajadili tu bila hiana.

Napenda majibu yako.
 

Mbona jibu lako kama umekata tamaa? mi nilikupa uzoefu wangu,ndoa ina raha na karaha zake lakini ningerudishwa nyuma na kuulizwa kama baada ya kua kwenye ndoa naijutia nasema hapana ni kitu kizuri sana na kimenipa furaha ya ajabu.Jipeni space mtadumu.
 
Bado mnazunguka mbuyu haiwezekani swali moja likawa na majibu meeeeeeengi! Hapa kuna double standard hat Haika, Lorain, Lagatende, QM, Kibunango n.k. ukiwauliza tena hili swali watajibu vingine. Hii kumaanisha a guess work sort of thing. Hata kwa mfano unapomuuliza hili swali mwanamke ambaye amekuwa kwenye mood mbaya na mme wake atakujibu tofauti na akiwa wanacheka au nafuraha ya relations.

Nimetafiti na nimegundua hivyo likewise kama mme ametoka tu kwenye hard conversation na mkewe atakujibu tofauti na akiwa in a right mood. Hata majibu hapo juu nimeyapitia kwa kina sana na nimegundua wale walio na more difficult relations wamejibu vizuri kuliko walion na soft n smooth relations.

Hii inammanisha wametia akili walio katika difficult relations kuliko hawa ndugu zangu laiiiiini. Hujibu kwa fedheha au kutokujua kwani aliaye ndio aliyefikiwa na msiba.

Endleeeni kuchangia mawazo na mwishoni nitajumuisha majibu yenu yenye akili kwenye utafiti na ku-analyse ili kuwapeni jibu moja la swali moja. Karibuni na asanteni.
 


"Womenofsubstance"
I totally agree to the above piece of information. I learnt the hard way and still paying the price for it. My wife and I started as college best friends. Until after a year and a half is when the other feelings started to develop. We got married and had a good, smooth marriage (of course like every marriage ups and downs were there)...But there was Love and Friendship for many years until when my sisters came over and stayed with us for some time.
When mywife brought some issues to my attention (that she didn't appreciate) I told her that...."just let it go" because I don't like confrontations....and on top of that....I worked so much that I didn't pay much attention to what was going on....so long as my wife and kids were fine....that was good....(My Mistake).
My wife felt that I didn't act as a protector to her....and ....since then I have been trying to mend our relationship....trying to bring the Love and Friendship back.......but if we have a small argument....she brings it all back....(She's not letting it go) So....as a result I might get some may be once a month, two months, and sometimes in three months (only when she asks for it) This is Very Frustrating. But I Love my wife so I will keep on trying to bring the old friend back.
 
Mbona kimya thread haiendi kabisa watu wangu. Bado muafaka haujapatikana kabisaaaa hapa! Wana JF sugueni vichwa kwa hoja nzito zenye fikra chanya
 
mshiiri..
Watu wakiwa kimya ujue labda wameishiwa na michango kwa maana ya kwamba mambo muhimu yeshasemwa, au wanatafakari zaidi.Vuta subira. Kama ulivyosema wewe mwenyewe hakuna force ya kuwafanya waseme sana kwa sasa labda wengi hawana ishu na spouses/partners wao.... ishu zikiibuka watachangamka wakuwekee yale unayotaka kusikia....
 


Rodelite,
I can relate a lot with what u r saying.. i believe many will agree with u too.
 



....Was your Mum a fan of Author James Hadley Chase?? Just asking, teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…