Wanawake huwa wanapenda/kuhitaji nini?

Mwanamke anaitaji sio tu usalama bali anaitaji hata mwanaume ambaye atamjali hata katika mambo ya kifedha.mwanawake hasa wa sasa wanapenda pesa na wala si kitu chochote .mambo haya ndio yameletelea wanawake kuitwa magorikipa.wapunguze kupenda pesa.
 
Thatz not right! Sikubaliani nanyi,huenda mmeanzisha mahusiano na wanawake msiowajua kwa undani. Binadamu hatufani kitabia bwana!
 
Thatz not right! Sikubaliani nanyi,huenda mmeanzisha mahusiano na wanawake msiowajua kwa undani. Binadamu hatufani kitabia bwana!
Ni kweli watu hatufanani tabia. Lakini ipo general sychology ya wamama. Kumbe lazima uijue na uzijue tabia zao na mapendeleo yao. Zaidi ya hilo - kama ulivyosema - lazima umjue mke wako. Hapo sasa unaingia kwenye specific characters of a person ambazo zinatofautiana kutoka mtu hadi mwingine. Kumbe kina mama wana mengi yenye kufanana na wanayo pia yanayowatofautisha. Kumbe hapa tunajaribu kuona kilicho-common kwa wanawake wote. Je, wanapenda nini?!
 

kaka usemayo ni kweli lakini kitu ambacho ni common kwetu ni tunapenda wanaume kutupenda nakutujali pia kutupa nafasi ya kusikilizwa kama mmoja wa mchangiaji mkubwa kwenye maamuzi yahusio mahusiano yetu au familia yetu.
 
Tunahitaji upendo wa dhati usiokuwa na longo longo.
 
Upendo is a very general term
 

Uhitaji wa mtu hauwezekani, unabadiika kutokana na mazingira. Inawezekana uhitaji wake unao, akatokea mwingine akahitaji zaidi ya yule wa kwanza.

Vitu vingine ni kuomba mungu uhitaji wako uwe wa kawaida tu, tuna tabia ya kutoridhika na vile tunavyohitaji.
 
No coment for the moment, untill next time.
 
Kuna baadhi ya tabia zinajirudia rudia...ila siyo wote au ni ukweli 100% 1.kupenda fedha..2.kusifiana kunenepa(shosti umependeza!)...3.kuchotwa kirahisi na kila mafundisho...4.kudanganyana-kila wakutanapo ni kujizushia kushindwa a.k.a 'kutendwa' hata kama anaenziwa na kupendwa..ni kajifashioni fulani hivi-wanajisahau maneno huumba...5.kusahausahau mambo/vitu...6.wasiwasi na kutojisikia salama.....MUNGU anamakadirio yake ktk uumbaji (supernatural calculations) thru tunayoyaona kuwa ni udhaifu/mapungufu ndio faida kwetu vinginevyo tungekuwa midume mitupu...ingekuwa sooo kama sio tafarani.. Hivi tuwavumilie na tuishi nao kwa akili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…